Peter Kibatala Wakili wa CHADEMA, Mungu akubariki sana

Nyie watu mnapenda kujipa moyo.
Tumezoea kuona watu wakitoa sifa nyingi mtu anapokufa, lakini ninaomba sifa nizitoe mtu akiwa hai.

Mara nyingi nimeona wakili Kibatala akipanda mahakamani kwenye kesi za viongozi wa chadema, analipwa au halipwi hio sijui na hainihusu...
 
Kibatala ni wakili aliyesoma kweli kweli na akaelimika,sio mwanaharakati.

Ndio maana hata majanga hayamkuti.
 
Nireteeni kibatara ndugu zangu nimpe cheo awee mwanasheria mkuu wa serekari yangu iri kusudi akawawashie kibatari mafisadi nasemo uongo ndugu zangu?

Kiongozi yoyote wa upinzani toka 2015 huwa nawaheshimu wamepitia magumu mengi sana.

Tanzania kuwampinzani government inakuchukulia kama GAIDI,muasi,mkwamisha maendeleo,mhujumu uchumi,mpiga dili, nk

Kwelii Africa tuna safari ndefu sana.
 
Wakisema tumpende mmoja kati ya hawa utampenda nani?
1.Mwigulu
2.Kibatala
 
Una ushahidi gani kuwa atamsaidia bure? Asikudanganye mtu Kibatala ni miongoni mwa wanufaika wakubwa wa SACCOS ya Mbowe. Kila kesi analipwa kiasi kikubwa sana. Kumfuata huyo unayemsema ni yeye kukimbilia mteja ili apate kazi.

Ni sawa tu na wamachinga wanavyokimbilia wateja barabarani. Na yeye amekimbilia mteja. Jiongeze mzee, watu wanapiga pesa kupitia matatizo yako.
Kwanini mr usibuni mradi ambao na wewe utanufaika na hiyo Saccos kuliko kuishia kuongea jambo ambalo huenda ukawa huna evidence yeyote inayo prove hilo.

Ukiwa nje ya uwanja mambo ni rahisi sanaa. Ila jaribu bahati yako kuingia ndani
 
Sadaka ni moyo!

Kibatala amekuwa mstari wa mbele kusimamia HAKI kwa wale wanaosimama badala ya wengine pamoja na vikwazo vingi anavyopitia katika majukumu yake.

Katika kupigania haki zikitendeka amenifanya/ametufanya tuwe na furaha kusimamia haki bila kuchoka.Leo tarehe 5/8/2021 amenigusa sana kwa kauli take kumwendea mtu asiyemfahamu ndani ya gari ya Polisi na kumwambia USIHOFU UNA HAKI YAKO.

Ni maneno ya upendo wa HAKI ya juu.NIMEMFANANISHA NA KAULI ZA YESU.
Hivyo naomba kwenye chochote tumrushie moja kwa moja kwenye simu yake Sadaka ya upendo kwa uzalendo wake.
Kwenye No yake(Pambalu lete No ya Kibatala)
 
Back
Top Bottom