Peter Kibatala: Tuko tayari kwa safari bila kujali nini kimemtokea rafiki yetu,Rais wetu, katika mapambano

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Anaandika Wakili Msomi Peter Kibatala.
Baada ya tukio la kijinga, la kitoto, lisilo na mantiki wala lisilojenga heshima yoyote kwa washambuliaji; la kushambuliwa kwa risasi Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (Tanganyika) Antiphas Tundu Lissu Mughwai, baadhi yetu tuliamua kukaa kimya kwanza ili kutoa nafasi kwa tafakari (reflection) kuchukua nafasi yake kwa kuwa tukio lile lina implications kubwa sana kwetu.

Tafakari imekwisha na tuko tayari kwa safari bila kujali nini kimemtokea rafiki yetu, Kaka yetu, Rais wetu,Mteja wetu na Partner wetu katika mapambano mbalimbali.

Tulitoa pia nafasi kwa vyombo husika kuonesha umahiri na umakini wake; si tu ndani (intrisically) bala hata kwa muonekano hata kwa wale wasiobobea katika uchunguzi (efficiency not only being practiced, but being seen to be practised).

Tumefanya kazi mara kadhaa na Jeshi la Polisi katika shughuli za kuwawakilisha wateja mbalimbali, akiwemo Tundu Lissu; na maoni yetu kuhusu Jeshi hilo tunaya-reserve kwa sasa.

Hayo yote si ya muhimu sana, lakini la muhimu na lililotuibua ni kauli kadhaa za hivi karibuni kuhusiana na kile kinatajwa kuwa ni ushahidi wa muhimu ambao anao (anaweza) kuwa nao Driver wa Tundu Lissu ambaye ametajwa kwa majina kadhaa (Simon, Adam na hata "Dereva wa Lissu"). Kwanza, sisi ni Mawakili si tu wa Lissu, bali hata wa Driver huyo. Kinachotushangaza ni namna ambavyo suala lake linakuwa handled kiasi kwamba kama si tu ile general feeling iliyonayo umma kwamba driver yule ni shujaa kwa kile kidogo alichofanya kuokoa maisha ya Tundu Lissu, basi pengine angekuwa tayari amehukumiwa katika Mahakama ya Public Opinion kwamba pengine kwa namna fulani anahusika na tukio lile. Pamoja na kwamba conclusion za iwapo anahusika au la ni za kichunguzi, lakini Jeshi la Polisi lina wajibu wa kutunza heshima, faragha na hadhi ya Driver yule isipokuwa tu pale linapokuwa na uhakika kwamba pengine kuna namna mbaya ambayo amehusika katika tukio lile; vinginevyo inakuwa kama inaletwa innuendo inayoweza kumuathiri si tu yeye, bali hata familia yake kwani Tundu Lissu anapendwa; Na anapendwa kweli hapa Tanzania. Kama kuna watu walikuwa hawalifahamu hili, sasa wanafahamu pasi na shaka yoyote.

Kama kuna mtu anabisha; basi afanye jitihada za kufanikisha kuruhusu maombi ya wazi kwa Tundu Lissu bila kizuizi.

Jeshi linasema linamtafuta/linamuhitaji ,Driver yule kupitia vyombo vya habari na sina uhakika kama limechukua hatua yoyote ya kisheria chini ya Kifungu cha 10 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (Cap 20, RE 2002) kumfahamisha rasmi yeye au Mawakili wake (nikiwemo Mimi) au Ndugu zake au hata basi wanachama wenzake rasmi Kimaandishi kwamba anahitajika kwa mazungumzo/Mahojiano. Sheria haizungumzii Jeshi la Polisi kuanza kutangaza kupitia vyombo vya habari kumhitaji Shahidi; na hata pale mahitaji yanapoelekeza kwamba njia hiyo itumike, Mahitaji a Katiba yetu yanaelekeza kwamba njia hiyo inatumika kwa namna inayomtunza muhusika.

Majuzi tu tulisikia Jeshi hilo likidai kwamba Tundu Lissu hakufikisha rasmi taarifa ya yeye kuwa hatarini na badala yake alienda kulalamika kwenye vyombo vya habari na kwamba Jeshi lisingeweza kushughulikia taarifa za namna hiyo; leo hii nalo linasema linamtufa Driver wa Lissu kwa sababu za kiuchunguzi kwa namna hiyo hiyo waliyosema haifai kufanyia kazi.

Jeshi la Polisi linafahamu Driver yupo Nairobi, Kenya akipatiwa matibabu ya kisaikolojia na kama katika zama hizi za leo kuna mtu (we na au asiwe na madaraka makubwa na uzoefu wa kutosha) ambaye hafahamu kwamba Post Traumatic Stress Disorder huwa si lazima ionekane usoni kwa muathirika, bado tuna safari ndefu sana, sana. Kwa hakika, wataalamu wa haya mambo ya psychology na mental trauma wanafahamu kwamba hata ile tu mtu aliyepitia a a very stessful experience kama ile kuwa na furaha usoni kinyume na matarajio ya wengi; nayo ni alama ya PTSD, na ni hitaji la matibabu na uangalizi wa karibu.

Logic nyingine ya kichunguzi inaelekeza kwamba Tundu Lissu pia kwa kuwa yu hai, bila shaka anafahamu na aliona kilichotokea; vipi yeye umuhimu wa maelezo yake? Hawezi kuhojiwa sasa kwa kuwa bado ni mgonjwa (kimwili na kisaikolojia pengine), si sawa?

Tuseme basi, for the sake of the argument, Driver si psychologically mgonjwa na obviously Jeshi linafahamu hayupo Nchini kwa sasa; ipi rahisi kati ya kutafuta njia mbadala za kumuhoji kwa njia za kisasa ambazo zinatambuliwa na sheria ya ushahidi (Cap 6, RE 2002) na maamuzi ya Mahakama za Rufani ya hivi karibuni kutoka huko alipo, na kuendelea kusubirisha hicho kipande cha Upelelezi kinachomsubiri Driver huyo mpaka siku atakaporudi; na huku Wananchi wakisubiri namna Jeshi la Polisi linavyoshughulikia suala hili nyeti?

Mambo haya ndiyo yanatufanya tuzidi kusisitiza Uchunguzi huru wa kutoka Nje ya nchi ili pengine tuongeze tija na crediblity katika si tu suala la shambulio la Tundu Lissu, bali hata mengine kama ya kupotea kwa Ben SaaNane pamoja na matukio mengine ambayo bado hayajapatiwa ufumbuzi, na yale ambayo Wananchi wana shauku kubwa kufahamu hatima zake kiuchunguzi.
 
Kw

Kwa nn mahojiano ya huyu dreva hawa CHADEMA wanayapigisha kona kona nyingi sana?
 
Ukisikia MSOMI .. ndio kama huyu sas ... hana phd ila ubongo wake ni mpana ukilinganisha na mkulu mwenye phd ya kuiba .... arf anakuja kuwasema wanafunz eti hawasom ... sas yy kama alikuwa na uwezo mdgo ndio maana akawa anakomaa masaa kibao mezan anadhani wote
 
CCM na serikali mna wakati mgumu sana kudeal na hivi vichwa vya sheria!!! Mtatokwa na kamasi nyepesi sana! Na badala ya kujibu wanachofanya mtabeba SMG zisizojulikana !!! Hizi hasira walizo nazo watu dhidi ya huu utawala zina ukomo! Asikiae na aelewe!!!
 
Mbwa hata awe mkali vipi hawezi kuung'ata mkia wake 'To shame the Devil we Need an Independent Inquiry'
 
Back
Top Bottom