Peter Kibatala: Tuko tayari kwa safari bila kujali nini kimemtokea rafiki yetu,Rais wetu, katika mapambano

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
23,207
2,000
Tulipofikia wabunge wa upinzani lazima wawe na walinzi binafsi wenye silaha at least wawili, sababu usalama wao upo shakani. Hapa mdipo tumefika eti nchi ya amani mbunge anamiminiwa risasi 38 mchana kweupe tena ndani ya compaund za nyumba za Serikali, haya ndiyo matokeo ya Tanzania mpya baada ya Mwalimu kuondoka? Wabunge kulindwa na maaskari binafsi wenye bunduki? Tuna tofauti gani na Somalia if i may ask? Shame!!
 

Gulwa

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
5,856
2,000
Mbona unajipendekeza kuwa wakili wa dereva?
Uchunguzi wa nje sahau
Hii ni nchi huru, na Lisu ni kama watanzania wengine potential zaidi ya huyo msaliti wenu
Kama hamuelewi mtaelimishwa tu
We no kati ya wanaume mlioamua kuishi kike kama jerry muro
 

Omulangi

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
1,033
1,500
Akifa ndilo MWISHO wa maneno.

The killers who aimed Lisa intended to kill the driver also. Now that Lisa survived and the driver who might have seen them, for sure they have panicked. That is why if care isn't taken they might silence the driver.
 

Halaiser

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
2,816
2,000
Blah blah nyiiingi lkn zero logic, hakuna mtu ambaye anapaswa kuhojiwa kwanza kama dereva aliyekuwepo kwenye eneo la tukio, hata hao FBI jambo la kwanza wangefanya ni hilo, huyo dereva alikuwa na Majeruhi kabla ya tukio, wakati wa tukio na baada ya tukio, hivyo wewe Kibatari umeshiba mtori wako halafu unataka kuongea pumba hapa, peleka upuuzi wako huko, kama mli mset Tundu Lisu sasa analipia gharama mwenyewe na familia yake na siajabu asirudie hali yake ya kawaida tena!
Yaani ulivyoandika upuuzi wako ni jibu tosha kwamba mmeshachanganyikiwa.
 

IPILIMO

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,822
2,000
Watu mnaquote article yote then mnacomment neno moja!! Mnatuchosha
 

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,511
2,000
Kw

Kwa nn mahojiano ya huyu dreva hawa CHADEMA wanayapigisha kona kona nyingi sana?
Jeshi linasema linamtafuta/linamuhitaji ,Driver yule kupitia vyombo vya habari na sina uhakika kama limechukua hatua yoyote ya kisheria chini ya Kifungu cha 10 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (Cap 20, RE 2002) kumfahamisha rasmi yeye au Mawakili wake (nikiwemo Mimi) au Ndugu zake au hata basi wanachama wenzake rasmi Kimaandishi kwamba anahitajika kwa mazungumzo/Mahojiano
 

chabusalu

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
7,914
2,000
Kw

Kwa nn mahojiano ya huyu dreva hawa CHADEMA wanayapigisha kona kona nyingi sana?
Hivi kumbe ni kweli ukishabikia CCM ni lazima ukubali kujitoa akili. Ambacho hujaelewa andishi la Kibatala ni kipi? Mnajidhalilisha sana
 

chabusalu

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
7,914
2,000
Nimeelewa hajakataa direct bt hyo ndo essence kakataa indirect

we unadhan kaandka yote hayo akimaanisha police wafuate utaratibu?

Ushasikia katka case znazohusu wanasiasa wanapoitwa kwa press conference kwenda police wakgoma kwenda kisa hawajaitwa kwa barua?

Ni sawa dereva c mwanasiasa ila ww ukiitwa na police utagoma kwenda kisa hawajakutumia barua ya wito kwa tamaduni zetu?
Wajinga wengi hawaelewi kama sio kazi ya polisi kuita watu kituoni kusaidia upelelezi, wajibu wa polisi ni kufuata kokote taarifa zinazoweza kuwasaidia katika upelelezi wao!
 

magnifico

JF-Expert Member
Jan 14, 2013
6,308
2,000
Hivi mbona huyo dereva hamtaki akahojiwe kuna nn ,yeye ndo shahidi wa kwanza so why
Mkuu, kama kweli umesoma hayo maelezo halafu ukaja ni hii post basi utakuwa na tatizo kubwa sana kichwani. Ila kama umesoma heading tu sina tatizo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom