Peter Bosz kutupiwa virago vyake Borussia Dortmund

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,377
217,435
Ni suala la muda tu kwa sasa ndio linalosubiriwa , hakika Dortmund iliruka mkojo na kukanyaga kinyesi !

Imekuja kubainika kwamba Huyu ni kocha mbovu asiye na mbinu wala mipango yoyote ile ya kuikwamua timu wala kupata mataji yoyote , Borussia ni timu iliyojiwekea heshima kubwa sana kwenye michuano ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE , lakini leo ni mdebwedo kuliko hata Kikwajuni ya Zanzibar , imetolewa mapema sana .

Mpaka juzi baada ya kufungwa nyumbani na vibonde Werder Bremen , ilikuwa ni mechi ya 8 mfululizo kupoteza pointi .

Hakuna haja ya kuwa na kocha kimeo namna hii .
 
Huyu kocha alianza kwa Utamu sana sijui nn kimemkuta wachezaji wamemgeuka,kaishiwa mbinu sijui akiwa Ajax pia alikua vema sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom