minze manonu
Member
- Nov 27, 2013
- 50
- 16
Kutokana na simliz ya kweli niliyoisikia kutoka kwa kijana wa kitanzania, ni kweli pete kubwa zivaliwazo na vijana wa kiume huwa zina uhusiano na mambo ya kichawi? Kwa wenye uelewa kuhusu hli naomba kujuzwa.
lazima mtu awaze kama unakemea hata kuwaza ili mwisho wa siku kwa akili aliyonayo achague jema na bayakwa jina la YESU nakemea mawazo ya KISHETANI!!
MkuuPete anazozibusu hapo ni za maaskofu. Wakatoliki huzibusu hizo pete kwani zinawekwa masalia ya saints
Njoo uchukue ninazo.. unapenda ya dhahabu au ya silver?Kutokana na simliz ya kweli niliyoisikia kutoka kwa kijana wa kitanzania, ni kweli pete kubwa zivaliwazo na vijana wa kiume huwa zina uhusiano na mambo ya kichawi? Kwa wenye uelewa kuhusu hli naomba kujuzwa.
kweli. we dog uchawi utajulia wapi?napita uchawi siujui