Pete ya uchumba..kwanini wanaume hupiga goti kumvisha mwanamke

Yani kizembezembe hata alshabab hawanipigishi goti labda watumie ule mtambo wa hyundai folko unaopasua miamba migumu iliyoshindikana

Sent using unknown device

Ahahahaha we ndo mnaolia kisa penzi mchozi kabs hapa unadanganya wenzio ili wapate tabu kwenye mahusiano yao nataman nikuone unavyotongoza mkuu nadhan utakua unapanga hela mbele


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimeshuhudia wanaume wengi wakipiga goti huku wakiwavalisha Pete za uchumba (engagement ring) sina shaka wala siupingi utaratibu huo ila kuna maswali huwa yananijia ambayo huwa nakosa majibu madhubuti
Mosi..je kupiga goti ni kanuni/sheria au ni utaritibu wa kimazoea?
Pili....je kupiga goti kwa manaume huashiria nini kwa mwanamke wake?
Tatu...je wanaume hufurahia kupiga goti katika tukio hilo au ni mazoea tu ya kijamii yanalazimu?
Nne.. Je wanawake huwa wanawaza nini kuona mumewe mtarajiwa akimvisha pete huku akiwa kapiga goti?
Sidhani kama utaratibu huu upo pia kwa ndugu zetu waislamu ila kwa wakristo ni well experienced and not well known .

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni ushamba tu na ulimbukeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahaha we ndo mnaolia kisa penzi mchozi kabs hapa unadanganya wenzio ili wapate tabu kwenye mahusiano yao nataman nikuone unavyotongoza mkuu nadhan utakua unapanga hela mbele


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mi muhuni nisiejua kutongoza ila nikishika ubapa mdogo mdogo utaona demu huyo geto anaongoza

Sent using unknown device
 
Umeangaika kumtongoza umekesha kufikilia mistari umetumia vocha umelia kiuongo na kwel umefanya research kama ni anafaa umemnunulia sana vocha ujasema ajabu tendo la sekunde tena bila gharama unaona kero mbona ujasubiri mwanamke akufate mwenyewe sema africa bado kuna mfumo dume kubali kubadilika na mazingira ndo dunia ilivyo simba na ufalme wake nyika lkn ananyenyekea mwanamke na popote jike akienda ye ufata nn we


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hakuna haja ya kuiga mavitu ya wazungu tufate ya kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Desturi ya engagement ya pete kwa watu wa magharibi ni ishara ya heshima na upendo kwa mwanamke unaemchagua sio tu awe chombo cha sex na kuzaa, awe "partner" in life. Kma vile ambavyo unamfukuzia na kumtongoza then kumuoa pia akupe ridhaa yake sio ubabe.

Kibongo bongo engagement inapagwa kma sherehe hivi na watu wanajiandaa, kwa wenzetu huwa ni suprise ndo mana inaambatana na hayo hapo juu.

In short, inaleta maana tu kama ukipiga goti katika muktadha wa hyo tafsiri hapo juu. Nachoona siku hizi imekuwa tu ni mtindo wa kilimbukeni, drama na show off.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kila kitu ni cha kuiga eti kisa tu wa majuu nao wanafanya hivyo hivyo


Sent using Jamii Forums mobile app

Kile kinachofaa si ndio saf sasa wapo wameona jambo ili linafaa sasa cjajua labda kwako imekua tatizo mkuu kama una mke au girlfriend au mtt wa kike nadhani kwa dunia ya sasa na akili na mawazo ya mkuu wa kaya watakua viumbe tofauti kabs


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom