Pete ya mafanikio

Rakims

JF-Expert Member
Jun 4, 2014
4,982
4,481

Yakuti ya njano (Yellow Saphire)​

Pete za bahati mali na mvuto

Yakuti ya njano ni moja kati ya mawe yanayo thaminishwa sana katika ulimwengu wa kiroho kwa faida nyingi za kimwili na kiroho, hasa katika maisha ya kila siku ya mwanadamu tangu zama za kale.

Pia ni moja ya mawe makuu katika mlolongo wa mawe 9 yenye thamani na matokeo yaliyokwisha jaribiwa katika Sayansi ya kiroho na kuonekana faida zake kwa uwazi.

Mara nyingi uthibitisho wake huwa ni siku ya 6 tangu kuanza kutumiwa kwake na mtumiaji. Wahindi hufahamu jiwe hili kama Jiwe la Pukhraj au Push Raja na peetmani,

Jiwe hili linapewa nafasi muhimu sana katika ulimwengu wa kinyota na linaaminika kubeba nguvu za sayari ya mushtara au Jupiter unavyoijua wewe.

Jupiter
ni sayari ambayo ndio nzito zaidi katika mihimili ya Solar system hivyo ukubwa huu na nguvu zake basi kama yaliyo mawe mengine yanavyo fananishwa na sayari zilizopo juu na kuwakilishwa.

Basi ndivyo jiwe ka Yakuti ya Njano pia linafananishwa na Sayari hii yenye siri nyingi za kiroho katika mafanikio kwa mvaaji wa pete au jiwe hili.

Mwenye kuvaa jiwe hili anatakiwa afahamu kabisa kwamba jiwe hili linavaliwa na watu maalum ambao ndio nyota yao hutawala na kupokea nguvu kirahisi kwenye jiwe hili,

Kulingana na kila saa ya sayari hiyo inapozunguka kiduniani. Hapa yaani wakati ambao dunia huwa imezungukia katika Jupiter au uelekeo wa dunia sehemu ambayo inaangalia jupiter na saa hiyo inapokuwa imemfikia mvaaji wa jiwe hili,

Basi humjaza nguvu za Jupiter kwa wakati huo wengine husema nyota humuwakia kwa kipindi hicho. Saa hiyo yeye chochote anachofanya kiliopo chini ya uwezo wa jupiter basi huweza kukifanikisha.

Mambo yanayo tawaliwa na Sayari ya Jupiter na kama wewe upo kwenye nyota rafiki za Jupiter basi utayafanikisha kirahisi katika mambo hayo,
Ikiwemo:
  • Kuota maono,
  • Kuota mambo yajayo,
  • Kipato kuongezeka,
  • Kuona au kubashiria madini,
  • Kupata urahisi wa mali,
  • Ulaini wa mambo,
  • Urahimu,
  • Akili,
  • Upole,
  • Mafanikio ya Kiserikali
  • Haya,
  • Kupona shinikizo la damu,
  • Kung'ara kwa nyota,
  • Kuwekwa karibu na uongozi,
  • Kushilikishwa safari na kazi,
  • Mafanikio kibiashara,
  • Kupata mafanikio katika.Zipo faida nyingi ambazo mtu anaweza kupata anapokuwa na nyota ambazo zina husiana na pia zina urafiki na sayari ya Jupiter.
Nyota zenye mahusiano ya kirafiki na Sayari hii ni:
  • Nyota ya Simba (leo)
  • Mshale (Sagittarius)
  • Samaki (Pisces)
Madini mazuri ya kuvalia ni BATI au Dhahabu ikiwa itafanyika katika pete, cheni au heleni pia.

Yakuti ya Njano huendana zaidi na nyota hizo, hii ni kwa sababu nyota hizi zina urafiki na sayari ya Jupiter.
Jiwe hili hupatikana zaidi Nigeria, USA, Cambodia, India, Thailand, Kenya, Nepal na Sri Lanka.

FAIDA ZA JIWE HILI​

Jiwe hili humlinda mvaaji kutokukumbwa na mashetani au uchawi wao na humfanya mwenye kuvaa kuwa na tabasamu sana na mwenye furaha mara nyingi anapokuwa nalo hasa mwanamke,
Kama mvaaji ni mwanamke basi humfanya apendwe zaidi na kusifiwa kwa nyanja yoyote aliyopo na kuonekana bila yeye mambo hayaendi.

Pia kumfanya avutie zaidi kwa kupendeka na kuonekana lakini pia humrekebishia maisha yake ya kindowa au kumvutia bahati ya mume ikiwa hana,
Katika tamaduni za Kihindi mtu akivaa pete inayowakilisha Jupiter huitwa Guru au mwalimu wa kiroho kwa ukubwa wake, hivyo.
Waandishi wa habari, wanasheria, mahakimu, waalimu na wanazuoni wa kihindi hujiongezea nguvu zaidi wanapovaa jiwe hili kwa imani zao,

Katika Series na habari zao utaona wana pete mbili hadi tatu vidoleni zikiwa na mawe tofauti, Wengi wao hawavai kama mapambo isipokuwa kwa ajili ya kuleta mvuto katika matarajio husika na mafanikio, nguvu na uadilifu katika imani yao.

Jiwe hili huwafanya kuwa wenye nguvu kimaamuzi na huwaletea bahati pia, na wanakuwa ni wenye kuweza kuhimili mambo magumu yanapowakuta au katika kushindanisha vitu au kesi.

Wengine huvaa kama cheni, na huwafanya waweze kuongea vema kiakili kwa busara na utulivu na upole na heshima kabisa na kutiiwa kama wakuu fulani.
Ndio maana kuna nyakati unaona wanazungumza na mtu hadi anaweza kulia sio katika Movies pekee waliowahi kuishi nao wanajua hivi vitu pia.

Lakini sio wahindi wote wanajua siri hizi, vile vile utakuwa waarabu pia na mataifa mengine mengi yenye mafanikio.

Zaidi ya hayo huwafanya wafikie mafanikio makubwa sana katika maisha yao ya kila siku. ndio maana leo unaona wapo karibu sana na wachina pamoja na wazungu kwa sababu wamehifadhi na kutukuza asili zao.

Watu wengi wapo katika mtizamo wa kuona mtu akifanya jambo la kiroho tofauti na sala ni uchawi na kubaki nyuma kwa mambo mengi,

Yakuti ya njano katika tiba

Jiwe hili pia katika kutibu maradhi ya muda mrefu kwa mwanadamu ni zuri kutokana na jinsi mwenyezi Mungu alivyobariki nguvu yake kwa maana huweza kutibu;- japo sio hapo kwa hapo

  • Maradhi ya figo watu wengi wenye kufanya massage za kiroho hutumia pia.
Sehemu zingine ambapo linaweza kukusaidia katika mwili wako ni:-
  • mdomo
  • mifupa,
  • huondoa na kuponya kikohozi,
  • mafua,
  • kupoteza kumbukumbu,
  • kuondosha homa za masaa
  • Nguvu yake pia humlinda mvaaji na Ajali za kizembe
  • Kumtolea mtu kuwa na tabia ya maneno ya kijinga
  • kumletea mvaaji utulivu wa akili, maarifa na humuongezea furaha pia.
  • Humsaidia mtu kutokukasirika hovyo na kununa nuna au kususa kusikokuwa na maana.
  • kumuweka sawa kifikra na kumkinga na chuma ulete.
  • Pia na kutoku nyolewa nywele usiku,
Kwa kuvaa jiwe hili basi mtu huwa katika jiwe sawa na wale wanaoanza kutaka kupata nguvu ya mawe hushauliwa kutumia hili kwa maana lina matokeo ya haraka zaidi likifuatiwa na Almasi,

Mvaaji wa pete au jiwe hili basi hukingwa na yanayoweza kumletea udhalilifu kukinai mambo ya hatari kumtolea addicted ya vitu visivyo na faida na kumuwekea akili sawa asiweze kujiingiza kwenye mapenzi kupitiliza.

kumletea mtu unyonge wa kukutana kimwili na yoyote mwenye maradhi ya kingono anayoweza kumuambukiza, na humfanya awe sahihi kwa maamuzi yake,

Pia humfanya mvaaji kuwa vema kwenye kazi hasa biashara na kumvutia wateja hata kama kaajiliwa hasa kwa siku ya jumapili na Alhamis humpa mtu mamlaka na kumfanya apande cheo ikiwa atafuata taratibu za uvaaji wake kila siku au baadhi ya siku kwa ambao sio rafiki na sayari hiyo,
Hupunguza mafuta mwilini kwa mvaaji na humponya magonjwa ya ngozi na koo, na inajulikana sana katika kuponya shinikizo au mgandamizo wa damu na kubalance presha.

Mwenye kuvaa pete au kubeba jiwe hili basi atafanya mengi ya kiroho na miujiza bila yeye kutegemea kwa kuamuru hata kwa imani yake ya dini.

WANAOWEZA KUVAA YAKUTI YA NJANO​

Kama mwenye kuvaa pete hii ana nyota ya Mshale au Samaki au aliyechomozewa na nyota moja kati ya hizo hata kama nyota yake ni nyingine na uchomozaji upo kwenye moja ya nyota hizo.

Basi atapata faida hizi siku yoyote saa yoyote atakayo vaa na kwa haraka ataanza kuona mabadiliko hasa katika bahati nasibu kwa wacheza kamali, bahati ya kupendwa ghafla, na zote nilizotaja hapo.

Kwa aliye na nyota ya Kaa au punda au aliyechomozewa na nyota ya kaa au punda yeye humletea kinga, baraka, usalama na kupanda cheo.

Wengine wenye nyota tofauti wao hupata bahati na kinga tu kwenye jiwe hili.

UVAAJI WA PETE HII​

Pete hii inapendeza zaidi kuvaliwa kidole cha shahada(index) kwa wanaume wa dini yoyote na kushoto kwa wanawake,

Lakini kwa waislamu inapendeza zaidi kuvaa mkono wa kulia kidole cha pete hasa. Kwa maana ya kufuata Sunnah za mtume Rehema na amani ziwe juu yake kuvaa pete mkono wa kulia.

Na siku nzuri ya kuanza kuvaa pete hii ni alhamisi asubuhi au siku yoyote mwezi ukiwa umeanza kuchomoza ndani ya siku ya 1-7 au kwenye mwezi mpevu ikiwa tu utakuwa umeshaiandaa kwa masharti yake:

  • visomo vyake
  • dawa zake
  • sheria zake
  • hekima zake,
  • Utaratibu wake
  • Usivae mwezi ukiwa unahama au upo gizani.

Wapi pa kuipata

Ikiwa umeipenda kwa maelezo yake na unahitaji kuwa nayo basi unaweza kuwasiliana nasi

img_20190525_153441-jpeg.1109462


Wengine wenye kuhitaji kutafuta wenyewe wanaweza kuagiza mtandaoni zipo

Zinauzwa 746,126.88/= hadi 2,066,197.50/=

img_20190527_195213-jpg.1109687
img_20190527_195145-jpg.1109690


img_20190527_195254-jpg.1109689



ANGALIZO:

Jitahidi upate ambayo ni pure vinginevyo utapata za bei rahisi 50,000-100,000/= Tsh ambazo ni goroli ama ni Labcut sio pure wengine huuziwa Zircon.

Inategemea na ukubwa na pia ukipata ndogo sana zina 390,281.75/=TSH

Wasiliana nasi​

Ikiwa ni mwenye kupendezewa na makala hizi, basi jihisi huru kuendelea kutufuatilia kupitia email lakini pia kama unahitaji mawasiliano yetu, tunapatikana kwa ajili ya misaada ya mfano wa makala hizi.

Unaweza kutupata kwa kupitia Email, vile vile kwa namba za simu, kupitia fomu ya mawasiliano katika tovuti yetu. Msaada wa kirafiki zaidi unatolewa na team yetu ya huduma kwa wateja na kujibu maswali yoyote ambayo unaweza kuwa nayo,

Ikiwa una maswali kuhusu makala zetu pia unaweza kuacha kwenye comment katika makala husika na kama ni huduma ya msaada wa tiba za kiroho au ushauri ama unahitaji kuagiza ama una suala lolote lingine basi tupo kwa ajili ya kutoa msaada pia.

Usisite kuwasiliana nasi kwa hekima za mawasiliano nifuraha yetu kusikia mahitaji ya wateja ama rafiki wa tovuti zetu za unajimu na RakimsSpiritual na tunatoa huduma nzuri za kumridhisha mwenye shida ikiwa tu atakidhi vigezo vya kuwa mteja ama rafiki wa tovuti hizi asante.

Na kwa maswali ya dharula kuhusiana na makala zetu kwa Members pekee;

Jihisi huru kututafuta masaa 24 ya week kupitia:-

Rakimsspiritual@gmail.com
au
mnajimu@unajimu.com

WhatsApp number

+255 783 930 601

Rakims
 

Attachments

  • IMG_20190525_153344.jpeg
    IMG_20190525_153344.jpeg
    15.4 KB · Views: 573
  • IMG_20190525_153441.jpeg
    IMG_20190525_153441.jpeg
    17 KB · Views: 660
  • IMG_20190527_195213.jpg
    IMG_20190527_195213.jpg
    19.1 KB · Views: 660
  • IMG_20190527_195254.jpg
    IMG_20190527_195254.jpg
    27.6 KB · Views: 577
  • IMG_20190527_195145.jpg
    IMG_20190527_195145.jpg
    20.1 KB · Views: 615
mkuu Rakims nimekufatilia nyuzi zako since 6s ago, kwa mada zako za utajiri,bahati, kuwin kamari, kumiliki majini ya pesa meditation ya kuomba chochote utakacho na ukapata!, etc! leo umekuja na ma'issue ya mapete kwamba umebaki nayo moja unauza 600k, kwamba kama kuna mtu mwingine anahitaji zipo hadi za 350k kuringna na hitaji la mteja...

swali je,? kutokana na mada unazoandika hum kuwavuta watu hivi kweli ww ni mtu wa kuhangaika kutafuta 600k wajeja wa mapete?
 
mkuu Rakims nimekufatilia nyuzi zako since 6s ago, kwa mada zako za utajiri,bahati, kuwin kamari, kumiliki majini ya pesa meditation ya kuomba chochote utakacho na ukapata!, etc! leo umekuja na ma'issue ya mapete kwamba umebaki nayo moja unauza 600k, kwamba kama kuna mtu mwingine anahitaji zipo hadi za 350k kuringna na hitaji la mteja...

swali je,? kutokana na mada unazoandika hum kuwavuta watu hivi kweli ww ni mtu wa kuhangaika kutafuta 600k wajeja wa mapete?
Ukiwa na kitu Used huwa mnatupa? Halafu thread nzima hiyo mtu kaandika ili watu wajifunze kitu wewe umetafuta cha kuchukua umeona pete tu inauzwa?
ama kweli wewe kama ni Mpumbavu

Rakims
 
Mm zikija awamu nyingine ntakutafuta,,,
Ila ziwe ndogo zaidi,,,yani hilo jiwe liwe dogo la kiana sio kubwa sana,,

Pamoja sana mkuu rakims,,
YAKUTI YA NJANO:

View attachment 1109461

Yakuti ya njano ni moja kati ya mawe yanayo thaminishwa sana katika ulimwengu wa kiroho kwa faida nyingi za kimwili na kiroho hasa katika maisha ya kila siku ya mwanadamu tangu zama za kale na pia ni moja ya mawe makuu katika mlolongo wa mawe 9 yenye thamani na matokeo yaliyokwisha jaribiwa kisayansi na kiroho na kuonekana faida zake kwa uwazi na uthibitisho siku 6 tangu kuanza kutumiwa kwake na mtumiaji wahindi hufahamu jiwe hili kama Jiwe la Pukhraj au Push Raja na peetmani, jiwe hili linapewa nafasi muhimu sana katika ulimwengu wa kinyota na linaaminika kubeba nguvu za sayari ya mushtara au Jupiter unavyoijua wewe:

Jupiter ni sayari ambayo ndio nzito zaidi katika mihimili ya Solar system hivyo ukubwa huu na nguvu zake basi kama yaliyo mawe mengine yanavyofananishwa na sayari zilizopo juu na kuwakilishwa basi jiwe ka Yakuti ya Njano ndio pia linafananishwa na Sayari hii yenye siri nyingi za kiroho katika mafanikio mvaaji wa pete au jiwe hili anatakiwa afahamu kabisa kwamba jiwe hili linavaliwa na watu maalum ambao ndio nyota yao hutawala na kupokea nguvu kirahisi kwenye jiwe hili kulingana na kila saa ya sayari hiyo inapozunguka kiduniani hapa yaani wakati ambao dunia huwa imezungukia katika Jupiter au uelekeo wa dunia sehemu ambayo inaangalia jupiter na saa hiyo inapokuwa imemfikia mvaaji wa jiwe hili basi humjaza nguvu za Jupiter kwa wakati huo wengine husema nyota humuwakia kwa kipindi hicho basi saa hiyo yeye chochote anachofanya kiliopo chini ya uwezo wa jupiter basi huweza kukifanikisha:

Mambo yanayotawaliwa na sayari ya Jupiter na kama wewe upo kwenye nyota rafiki za Jupiter basi utayafanikisha kirahisi
Mambo hayo ni:
Kuota maono,
Kuota mambo yajayo,
Kipato kuongezeka,
Kuona au kubashiria madini,
Kupata urahisi wa mali,
Ulaini wa mambo,
Urahimu,
Akili,
Upole,
Mafanikio ya Kiserikali
Haya,
Kupona shinikizo la damu,
Kung'ara kwa nyota,
Kuwekwa karibu na uongozi,
Kushilikishwa safari na kazi,
Mafanikio kibiashara,
Kuoa au kuolewa.

Na mengineyo mfano wa hayo kumbuka ni kwa wenye nyota ambazo zina husiana na pia zina urafiki na sayari hiyo ya Jupiter hii ni faida za sayari hiyo na nyota hizo ni
kama Ifuatavyo:
Nyota ya Simba (LEO) Mshale (Sagittarius) na Samaki (Pisces)

Madini mazuri ya kuvalia ni BATI au SILVER

Yakuti ya Njano huendana zaidi na nyota hizo Hii ni kwa sababu nyota hizi zina urafiki na sayari ya Jupiter.

Jiwe hili hupatikana zaidi Nigeria, USA, Cambodia, India, Thailand, Kenya, Nepal na Sri Lanka.


FAIDA ZA YAKUTI YA NJANO YENYEWE KAMA YENYEWE:

Jiwe hili humlinda mvaaji kutokukumbwa na mashetani au uchawi wao na humfanya mwenye kuvaa kuwa na tabasamu sana na mwenye furaha mara nyingi anapokuwa nalo hasa mwanamke,
Kama mvaaji ni mwanamke basi humfanya apendwe zaidi na kusifiwa kwa nyanja yoyote aliyopo na kuonekana bila yeye mambo hayaendi pia kumfanya avutie zaidi kwa kupendeka na kuonekana lakini humrekebishia pia maisha yake ya kindowa au kumvutia mume,

Katika tamaduni za Kihindi mtu akivaa pete inayowakilisha Jupiter huitwa Guru au mwalimu wa kiroho kwa ukubwa wake, hivyo. Waandishi wa habari,wanasheria,majudge,waalimu na wanazuoni wa kihindi hujiongezea nguvu zaidi wanapovaa jiwe hili kwa imani zao, kwenye series na habari zao utaona wanapete mbili hadi tatu vidoleni zikiwa na mawe tofauti hawavai mapambo wakuu,
Nguvu na uadilifu katika imani yao basi jiwe hili huwafanya kuwa wenye nguvu kimaamuzi, wenye kuweza kuhimili mambo magumu yanapowakuta au katika kushindanisha vitu au kesi wengine huvaa kama cheni, na huwafanya waweze kuongea vema kiakili na kwa busara na utulivu na upole na heshima kabisa na kutiia kama wakuu fulani ndio maana kuna nyakati unaona wanazungumza na mtu hadi anaweza kulia sio movies walioishi nao wanajua hivi vitu pia, na pia huwafanya wafikie mafanikio makubwa sana katika maisha yao ya kila siku ndio maana leo unaona wapo karibu sana na wachina pamoja na wazungu kwa sababu wamehifadhi na kutukuza asili zao wewe kalia kuona mtu akifanya jambo la kiroho tofauti na uislamu na ukristo ni uchawi utabaki hivyo hivyo,

Jiwe hili pia hujulikana kwa uwezo wake wa kuponya maradhi ya figo hasa kwa wafanyaji wa massage hutumia pia na mdomo,mifupa,kikohozi,mafua,kupoteza kumbukumbu na kuondosha homa za masaa,
Nguvu yake pia humlinda mvaaji na Ajali za kizembe pamoja na maneno ya kijinga na kumletea utulivu wa akili,maarifa humuongezea na furaha pia.
humsaidia mtu kutokukasirika hovyo na kununa nuna au kususa kusikokuwa na maana pamoja na kumuweka sana kifikra na kumkinga na chuma ulete pia na kutokunyolewa nywele usiku,
Kwa kuvaa jiwe hili basi mtu huwa katika jiwe sawa na wale wanaoanza kutaka kupata nguvu ya mawe hushauliwa kutumia hili kwa maana lina matokeo ya haraka zaidi likifuatiwa na Almasi,
Mvaaji wa pete au jiwe hili basi hukingwa na yanayoweza kumletea udhalilifu kukinai mambo ya hatari kumtolea addicted ya vitu visivyo na faida na kumuwekea akili sawa asiweze kujiingiza kwenye mapenzi kupitiliza au kumletea unyonge wa kukutana kimwili na yoyote mwenye maradhi ya kingono anayoweza kumuambukiza, na humfanya awe sahihi kwa maamuzi yake, humfanya mvaaji kuwa vema kwenye kazi hasa biashara na kumvutia wateja hata kama kaajiliwa hasa kwa siku ya jumapili na Alhamis humpa mtu mamlaka na kumfanya apande cheo ikiwa atafuata taratibu za uvaaji wake kila siku au baadhi ya siku kwa ambao sio rafiki na sayari hiyo,

Hupunguza mafuta mwilini kwa mvaaji na humponya magonjwa ya ngozi na koo, na inajulikana sana katika kuponya shinikizo au mgandamizo wa damu na kubalance presha.

Mwenye kuvaa pete au kubeba jiwe hili basi atafanya mengi ya kiroho na miujiza bila yeye kutegemea kwa kuamuru hata kwa imani yake ya dini.


WANAOWEZA KUVAA YAKUTI YA NJANO

Kama mwenye kuvaa pete hii ana nyota ya Mshale au Samaki
au aliyechomozewa na nyota moja kati ya hizo hata kama nyota yake ni nyingine lakini uchomozaji upo kwenye moja ya nyota hizo basi atapata faida hizi siku yoyote saa yoyote atakayo vaa na kwa haraka ataanza kuona mabadiliko hasa katika bahati nasibu kwa wacheza kamali, bahati ya kupendwa ghafla, na zote nilizotaja hapo.

Kwa aliye na nyota ya Kaa au punda au aliyechomozewa na nyota ya kaa au punda yeye humletea kinga,baraka,usalama,na kupanda cheo tu.

Wengine wenye nyota tofauti wao hupata bahati na kinga tu kwenye jiwe hili.

UVAAJI WA PETE HII
Pete hii inapendeza zaidi kuvaliwa kidole cha shahada(index) kwa wanaume wa dini yoyote na kushoto kwa wanawake,
Lakini kwa waislamu inapendeza zaidi kuvaa mkono wa kulia kidole cha pete hasa kuepukana na sunnah za mtume kuvaa pete mkono wa kulia.
Na siku nzuri ya kuanza kuvaa pete hii ni alhamisi asubuhi au siku yoyote mwezi ukiwa umeanza kuchomoza ndani ya siku ya 1-7 au kwenye mwezi mpevu,
Usivae mwezi ukiwa unahama au upo gizani.

Wapi pa kuipata

Mimi ninayo moja tu kwa atakaye hitaji ninaiuza sh. 600,000/=
vile ina crack ndogo ya ndani kama mstari hivi,
View attachment 1109462
Wengine wenye kuhitaji agiza online zipo

Zinauzwa 739,590/= hadi 1,253,590/=

Inategemea na ukubwa na pia ukipata ndogo sana zina 365,590/=

Jitahidi upate ambayo ni pure otherwise utapata za 50,000-100,000/= ambazo ni goroli sio pure


Rakims
 
Hivi kwa akili ya kawaida mtu akupe Pete kwa 600k alafu wewe ukapate mamilion kwanini asivae yeye ili apate hizo hela nyingi?acheni utapeli bhanàaa mungu anatosha,fedha na dhahabu ni Mali ya mungu.
Mkuu umeelewa nia ya thread lakini au umeropoka tu?
Kuna na matumizi mazuri ya akili mkuu,

Rakims
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom