Pete ya Dhahabu yazua mambo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pete ya Dhahabu yazua mambo!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kana-Ka-Nsungu, Feb 16, 2009.

 1. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Mwanamke mmoja aliingia duka la vito vya thamani, akaona pete moja ya dhahabu nzuri sana amabayo ilikuwa kwenye shelf ya chini, wakati anainama apate kuitazama vizuri kwa bahati mbaya (au nzuri!), shuzi likamtoka- druuuuuu, soni ikamuingia huku akigeuka haraka kuangalia kama kuna yeyote dukani pale ameliskia shuzi lake, macho yakagongana na mwenye duka ambaye alikuwa karibu huku uso ukiwa umejaa tabasamu zito, mwana mama hakuwa na uhakika kama amesikika au hakusikika, akaona atumie nafasi ile kuyeyusha...Akauliza "Hii pete bei gani?" . Jamaa mwenye duka, huku akiangua kicheko, akajibu "Umeiona tu umejamba, je nikikuambia bei yake si utakunya kabisa?"
   
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ....wwwwwwwwwwhhhhhooo aaa ha ha aaaaaahhaaaaa!
   
 3. senator

  senator JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2009
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Kudadadadeki hapo mzazi huyo aibuu kibwena..inaonekana na mwenye duka nae muhuni!!
   
Loading...