pesa zitakazo tumika kuendesha kesi za kupinga matokeo ya uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

pesa zitakazo tumika kuendesha kesi za kupinga matokeo ya uchaguzi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by zamlock, Jan 3, 2011.

 1. z

  zamlock JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  ccm inatupatia hasara sana kwenye taifa letu kwa sababu bilion 2 ni pesa ambazo zingeweza saidia wananchi hata kwa kuwajengea zahanati au mashule lakini hizo pesa zinapewa mahakama kuu kuendeshea kesi ambazo wamezisababisha ccm kwa uchakachuaji wa kura za waliokuwa wameshinda
   
Loading...