Pesa za viti vituo vya mwendokasi zimekwenda wapi? Wajawazito na wamama wenye watoto wanakaa chini

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,955
22,133
Inasikitisha sanasana

Kiukweli leoo nimehuzunika sana kuoa wamama wajawazito nawamama wenye watoto wachanga wakikaa chini kituo cha MWENDOKASI kariakoo

Nimewaza hivyo vutuo awakujua wajawazito nao watapanda hayo mabasi??

Awakujua wamama wenye wwatoto wachanga watapanda hizo basis jamani
My waziri husika embu angalia hizi picha kama mzazi naamini utaliangalia hilo
 
IMG_20170619_132115_239.jpg
 
Lakini mkuu mbn vituo vingine kuna viti???Mfano kile cha ubungo??
kwahiyo wajawazito wapo ubungo tu???? ilitakiwa vituo vyote viwe na viti kwa ajili ya wazee, wagonjwa , wajawazito, walemavu na wamama wenye watoto.

vituo ambavyo vina viti ni ubungo, kimara mwisho, kivukoni, gerezani na moroco mwisho. asa jiulize hivi vituo vingine hakuna watu wenye mahitaji ya viti????
 
Back
Top Bottom