Pesa za ujenzi wa madarasa sekondari ziende mapema maeneo mengi msimu wa mvua unaanza

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,449
9,372
Tuipe hongera serikali ya awamu ya sita kwa hatua ya hiii inayoenda kufanya wito huu sio mda tena wa Kila waziri kwenda kwenye vyombo vya habari nakuanza kuongelea hizi pesa za ujenzi wa madarasa wakati bado pesa zipo hazina hazijafika katika halmashauri

Pelekeni pesa haraka mwezi January siyo mbali pia msimu wa mvua kwenye baazi ya maeneo unakatibia kuanza na maeneo mengine miundombinu ya barabara kutoka yanapopatikana materials ya ujenzi na kufika shule ni changamoto hiyo moja mbili shule zinaenda kwenye mitihani ya kidato cha pili na cha nne, mnafikilila wakuu wa shule wataweza simamia utendaji kazi peke yao hizo kamati za manunuzi mapokezi na ujenzi si walimu haya wakiwa wamepangwa kazi maalum nani atasimamamia, wajumbe wa bodi wengine wakulima waache kwenda shamba kujaa kukaa kujadili masuala.ya ujenzi si kutaka tafutia watu lawama.


MY TAKE
Pelekeni pesa haraka acheni kupigia promo kwenye vyombo vya habari wakati pesa uko halmashauri hazipo na mchakato wa manunuzi unaitaji mda na mda umeisha
 
Back
Top Bottom