je ndo hii nyumba yenyewe?....iko msoga
Usiseme nyumba sema majumba. Zoom ujionee kwa karibu. Hii inanikumbusha ikulu ya Mobutu Sese Seko Kuku Wa za Banga kule Gaborite, DRC.
Hivi huko Bongo hakuna mtu mwenye kamera na muda wa kuyapiga picha ili angalau tuwe na idea what we are talking about..?
..hizo point mbili zina ukweli?
..ninachofahamu ni ujenzi wa makazi yake pale, kitu ambacho ni cha kawaida.
Usiseme nyumba sema majumba. Zoom ujionee kwa karibu. Hii inanikumbusha ikulu ya Mobutu Sese Seko Kuku Wa za Banga kule Gaborite, DRC.
Kwa taarifa nilizopata hivi punde ni kuwa hayo mahekalu yanajengwa kwa nguvu za serikali maana ndio makazi ya kuishi mkulu pale atakapostaafu. Na nimeambiwa kuwa walianza kujenga mara tu mkulu alipoingia madarakani.
Hivi serikali haina "standard" za nyumba atakayojengewa rais? Huyu akitaka mahekalu inakuwa safi na mwingine akitaka ajengewe kijiji kizima je itakuwaje?
Siri gani ,siku hizi nakuta nyumba yangu kwenye earth google, ebu chekini labda hizo ikulu zipoHizi ni siri za taifa na kupiga picha maeneo kama hayo ni kuhatarisha usalama wa taifa. So.. well mlitaka Rais aishi kwenye kijibanda?
Hivi hizo cellfoni zenu, camera zake hazifanyi kazi? Tunaomba mtu ajitolee kupiga picha hizo nyumba, Dar na huko Chalinze ili utamu wa hii stori kolee na kupata nguvu.
Magazeti yetu nayo mbona kimya?
Shubash Patel, fisadi papa, kipenzi cha Rais wetu mpendwa. anasimamia miradi yote ya bwana Mkubwa, na ikulu zote zinazojengwa sasa hivi. U wonder why swala la mafisadi halitakwisha