Pesa za boom zina nini jamani?

Boom ni mipango tu!! Mfano mimi nipo mwaka Wa 2 ila kwenye akaunti yangu bado inasoma 460k. Na nimepanga nje sio kukaa hostel. Ukielewa maisha unayotaka kuishi mbona boom linabakiza chenji kabsa....
Kila siku movie mlimani city, shopping aura mall then lunch marry brown halafu unataka pesa za boom zisiwe na majini????
 
Back
Top Bottom