BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,812
- 5,764
Trillion 425 si pesa yakitoto wakuu"ukitengeneza turubai la msimbazi utafutika eneo hili lote ona katika picha
Wazo zuri sana haha.Mi nashauri badala ya kununua noah kwa kila mtu, tujenge kiwanda cha noah afu tugawane tulioko hai. Halafu tuziuzage bei ndogo ili hadi vitukuu vyetu vipate gawio.