Pesa Ya Watanzania Itaendelea Kuibiwa kwa Sababu CCM haijui Ugatuzi wa Madaraka ni nini!

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,033
Hoyeeeeee!

Mkisikia ripoti ya CAG mwaka wowote ule toka kuanzishwa kwa mamlaka hii ya ukaguzi mjue ni wizi wizi uliotia fora.

Ugatuzi wa madaraka siku CCM wakielewa hii dhana ndio kidogo rasilimali zitalindwa kwa nguvu zote na kutakua na upangaji bora wa vipaumbele vya maendeleo kuanzia ngazi ya mtaa hadi taifa.

Lakini hawa wanaojiita wasiofungamana na upande wowote huku wakipractice siasa za ujamaa ambazo zilishawashinda miaka mingi tutapigwa mabilioni kila siku huku tukizidi kua maskini wa kutupwa.

Kodi za magari na kodi za bidhaa watanzania tutakamuliwa hadi siku tunakufa wote maana ubunifu wa viongozi ni zero.

Haiingii akilini Mtanzania mwenye bandari anunue gari bei kubwa kuliko Mganda au Mcongo au Mmalawi asie na bandari.

Maajabu haya!
 
Back
Top Bottom