Pesa ya serikali ya mapinduzi zanzibar kabla ya muungano wa tanganyika na zanzibar.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pesa ya serikali ya mapinduzi zanzibar kabla ya muungano wa tanganyika na zanzibar..

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Sep 26, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  PESA YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KABLA YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR..

  [​IMG]
   
 2. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mimi Mtanganyika, natamani kuoa Zanzibar!!!
   
 3. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Vunjeni muungano zenji iwe nchi, kwani tanganyika kutakosekana kitu gani?
   
 4. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Karibu sana zanzibar

  Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Huu muungano "majanga" tu. nahisi aliyeroga siku ya kuunganisha hzi nchi alitumia zindiko kali sana!
   
 6. L

  Laaziz Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 26, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hela nzuri hiyo du! jamani na waachiwe kanchi kao bwana! muungano! muungano! wanini?
   
 7. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,508
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  haina mvuto
   
 8. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Kila siku huwa naomba hawa jamaa waendelee kudai nchi yao ili tubaki na Tanganyika yetu!
   
 9. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #9
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Why

  Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
   
 10. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,451
  Likes Received: 4,734
  Trophy Points: 280
  yamkini babu yako alihifadhi hizi hela kwa ajili ya mahari utakayodaiwa
   
Loading...