Pesa ya MMEM kutopelekwa Mashuleni je Makusudi au Pesa za Uchaguzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pesa ya MMEM kutopelekwa Mashuleni je Makusudi au Pesa za Uchaguzi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Albedo, May 21, 2010.

 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ndugu Zanguni nimepata habari na ningependa kuziweka hapa kama Alert, nimeongea na mkuu mmoja wa shule ya Msingi akaniambia kwamba Pesa ya MMEM mpaka mwezi huu wa may ilikuwa bado haijagawiwa kwa shule za Msingi. Sasa mimi sifahamu ni vipi hizo pesa huwa zinatolewa lakini nikapata hisia kwamba huu ni mwaka wa Uchaguzi tusipokuwa Macho MMEM inaweza kuwa "Kagoda Version 2010".

  Asanteni
   
Loading...