Pesa sio mwanzo wa matatizo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pesa sio mwanzo wa matatizo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jun 28, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,493
  Likes Received: 5,723
  Trophy Points: 280
  [h=2]Pesa sio mwanzo wa matatizo[/h] Monday, June 27, 2011
  [h=3][​IMG][/h] [h=3]Mungu anajua kila tunachohitaji, pesa sio shina la maovu kama wengi wanavyodhani, maovu yanaanza pesa inapomtawala mtu, inabidi uitawale pesa katika kila kona ya maisha yako, tusipende kutumikia pesa na wakati huo huo tunamtumikia Mungu. “Hakuna mtu awezaye kutumikia mabwana wawili, kwa maana atamchukia huyu na kumpenda huyu, ama atashikamana na huyu, na kumdharau huyu. Hamwezi kumtumikia Mungu na mali” Mathayo 5:24[/h] [h=3]Ukimtumikia Mungu pesa zitakuheshimu na utazitawala na kamwe haziwezi kuwa tatizo kwako, pesa zina macho, masikio na mdomo, Utajiri bila Mungu ni bure, shetani akikufanya tajiri kuna majuto na kukosa amani, kama Mungu akikutajirisha atakupa hekima ya kutumia pesa yako. Pesa inakua tatizo inapokutawala, wakristo wenzangu tusitawaliwe na Pesa.[/h] –SM–
   
Loading...