Pesa ninayopata ni ndogo?

So in that case always nabaki na 32000,sabuni is there kila wiki lazima ninunue,1000+kuogea 1500 =30500...na vingine vidogo vidogo yani always nabakiwaga na 20000
Na iyo 20 haitoshagi hadi nikope kwaiyo nikitumiwa tena 40000 nilip madeni always ayazidi 10000,5000 mwisho
 
Focus kumaliza chuo kwanza,mengine yatafuata.Kufanya vitu nusu nusu,Utajikuta unapata GPA mbovu na Biashara nayo inafail.
 
Una matumiz mabaya sana ya pesa... Hata ukifanya biashara utafirisika tu.. Kwa matumizi hayo ya vocha na vitu vingine..

Mimi binafs nafanya kazi na malipo ni bumu lako mara 2.. Ila sina matumizi ya vocha 2000 kwa siku..

Huwez tumia elf 40kwawiki kama mwanafunzi wa chuo..
Sure elf 40 kubwa sn
 
Hata ukipewa laki kwa wiki bado haitatosha, utakachofanya ni kupanda daraja tu, kama saiv unanua viatu vya 8000 utahamia vya 30000 😁
 
Acheni masihara elfu 40 atimize mahitaji yake binafsi na ya chuo.yani chakula,nauli mavazi,notes.Hiyo hela aitoshi kwa mahitaji muhimu ukiwa chuo.
ASA MTU ananunua viatu kila wiki utamshauri nn!! Sis tulkua tunatumia elfu ishirin kwa wiki ,ila yeye hajaamua tu
 
Waambie wazazi wakutafutie 150k nunua digital pressure cooker , inapika karibu kila ktu nyama, kuku,samak hadi maharage kwa dakika 40 tu na inatumia umeme mdogo Sana.
Baada ya hapo tafuta mchele na maharage weka ndan
Kisha wazaz waendelee kukutumia hiyo 40k Yan kwa siku utakua unatumia hata buku tu , ktungu kimoja, karoti 1na ndiz 3 inakua buku.
Unaokoa gharama hununui gas wala mkaa.
Kwa wik unaweza ukajikuta unatumia 7,000 tu kwa chakula.
Alaf hayo mahitaj mengne ambayo siyo ya msingi yapunguze mfano viatu kma unapenda Sana basi pairs 4 tu inatosha
Punguza matumiz yasiyo ya msing Anza kusave jinyime .
Kama 40k ilikua haimaliz wiki unaanza kujaribu kujibana na kusave 10k hiyo 30k iliyobak ndo unaitumia
Ukishaweza kuish bila kukopa kwaajili ya chakula na kubak na balance kdogo ndo uanze kuplan biashara ktokana na kipato chako.
Dah umesimplify sana cdhani kama mlengwa ataweza kiuhalisia
 
Hata ukipewa laki kwa wiki bado haitatosha, utakachofanya ni kupanda daraja tu, kama saiv unanua viatu vya 8000 utahamia vya 30000 😁
True ishu aamue tu kama ana malengo ya kusave ,ata apewe million bado itakua ndogo kwake
 
So in that case always nabaki na 32000,sabuni is there kila wiki lazima ninunue,1000+kuogea 1500 =30500...na vingine vidogo vidogo yani always nabakiwaga na 20000
Sabun y kuogea kila wiki oke Una plan n biashara Gan pia uko mkoa Gan Kama uko dar njoo dm
 
Yani napenda niwe na viatu vingi so kila wiki natenga 8000 kwajili ya kununua simple kiatu,lotion nikinunua Mara moja iyo iyo sana sana viatu....
Nashangaa mtu kama huyu bado anashauriwa.we soma kua ndo uwaze biashara saivi wewe ni slayqueen
 
We nae acha uongo. Kila week unanunua perfyume, lotion, viatu. Kwanini watz mnakuwa waongo waongo.

Kama unasoma bachelor miaka 3, utamaliza chuo ukiwa na pairs 96 za viatu. Ukiuza hizo pairs zote kwa 3000 kila pair utakuwa na 288,000 pesa ya kuanzia kulipia kodi ya chumba cha biashara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom