Vodacom Tanzania
Official Account
- Aug 12, 2013
- 320
- 107
Katika kusherehekea msimu huu wa Sikukuu, kampuni ya mawasiliano nchini Vodacom Tanzania imewaletea wateja wake na Watanzania kwa ujumla kampeni inayokwenda kwa jina la PESA NI M-PESA. Kupitia kampeni hii wateja watapata zawadi za papo hapo wanapofanya malipo ya huduma au bidhaa kupitia M-Pesa. Malipo kwa njia ya M-Pesa ni salama na rahisi. Unaweza kulipa kutoka mitandao yote na benki ujipatie zawadi za papo hapo.
Kila mtu ni mshindi na M-Pesa. Hakuna makato unapolipa kwa wafanyabiashara waliosajiliwa. Piga *150*00# au tumia M-Pesa App kulipa.