Pesa ndio kila kitu hakikisha unayo ili usisalitiwe iwapo una mwanamke "mzuri"

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,023
2,000
Katu usimuoe mwanamke mzuri kama hauna pesa
Kwanini nawaambia mwanamke mzuri ukimuoa halafu ukawa hauna pesa lazima utasaidiwa na wanaume wenzako yaani watakuwa wanambinua kila siku mfano nyie mkiwa ni kipato cha kati
Mmetoka nae sehemu kama vile pub or somewhere.. midume lazima imtolee macho
Lazima atatongozwa na let me tell you one thing wanaume wanatafuta weakness ya wanawake wakianza kumuhonga kidogo tu umeumia
Mjini hapa kuna wanaume kazi yao ni kula wake na mademu za watu(tunawajua)
Mwanamke ninayemuongelea hapa ni mwanamke wa aina ipi?
Wanawake wa mjini nadhani mnawajua
Kwanzia uvaaji mpaka matembezi ni mapozi brazillian hair kwa sana, mkoba lui vuitton, perfume kitu cha hermes’ 24 Faubourg*$1,500

Mkononi ana saa ya harry winston (cheki wakuu mlivyotoa macho) hahaha

High hills za maana

Hatumi ma PAPAYA YENU.. yeye akitaka vipodozi ana dada yake kaolewa califonia huko ndio anamuagizia toka beverly hills

Kabadilisha passport mbili within her 25 years ya kukaa hapa duniani mara kwa dada yake wa london, mara kwa mjomba wake wa australia, mara kwa shangazi yake balozi wa tanzania canada (mkuu wewe una passport) hahha
Anajua lugha 5 kiswahili, english, french, spanish, na KICHAGA ofcourse

Ana degree ya medicine na ka specialize kwenye udaktari baba yake kamuambia akimaliza atamfungulia hospitali yake kubwa hapa nchini...kwani baba yake aliwahi kuwa waziri wa afya kipindi hiko yeye ndio mtoto wa mwisho ana kaka zake wengine wako uingereza, wengine wako usa

(Nadhani umeelewa aina ya msichana ninayemzungumzia hapa)

Ila ukiwa na pesa mkeo naye unamuwezesha either car, biashara zake au kama ni kazi ni boss sio ngumu kuliwa ma telling you
Wanaume tuna kitu kimoja naomba ni share na nyinyi kama mkibisha siwalazimishi

Tunatongoza wanawake tukishajua kuwa tumemzidi kitu fulani so natumia weakness yake kama silaha wapo wanaokula wanawake kisa wao ji ma hb huyu wapo wanaokula wanawake kwa silaha ya fedha huyunakikutana na demu mwenye fedha maradufu yake anakua mdogo kama piritoni

Wapo wanaokula wanawake kwa silaha ya title au status hapa naongelea watu maarufu au mabosi
Huyu akikutana na mwanamke mwenye hivyo vitu lazima awe mdogo

Ngoja nitoe kijimfano hapa
Lets take hapa hapa africa
Utakuta mwanaume anasema mimi lazima nimle lets say jokate ila jokate huyu huyu kuna mijitu kadhaa inamtamani lakini haiwezi kumpata kwa sababu hawana vitu vitatu nilivyobisema pesa, tittle na let say u hb
Ila kuna kigogo wa bank anasema ngoja lazima nimle jokate
Jokate na yeye baada ya wiki mbili analiwa(nasisitiza huj ni mfano)

Lakini huyu huyu aliyemla jokate anawaza atapata lini kumla OMOTOLA JALADE EKEIDE au tuseme ISABEL DOS SANTOS the richest girl in africa

Sijui mmepata point yangu.
So hapa napenda tu kusema na ninaamini msemo wangu ukipata msichana mzuri na unataka kumuoa fanya kila mbinu uipandishe status yake
Maaana hata awe msichana aliyetulia vipi lazima ataliwa tu.. sikatai kuwa akiwa rich hataliwa akiliwa na huko jua wewe ndio una matatizo so

Mpendezeshe mpandishe status, mpende, umpe mapenzi ya nguvu, mfanye kama mtoto mdogo , yaani mjali nakuambia kuwa kusalitiwa utakuwa unasoma kwa magazeti tu na kusikia kwa jirani
 
Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,014
1,500
Mmh, moyo wa binadamu msitu
Kuna watu wanapigiwa pamoja na mihela yao na makila kitu wanayowapa wanawake.

Uaminifu ni tabia, sio kuhusu pesa, wala status wala nini.
 
C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,023
2,000
Mmh, moyo wa binadamu msitu
Kuna watu wanapigiwa pamoja na mihela yao na makila kitu wanayowapa wanawake.

Uaminifu ni tabia, sio kuhusu pesa, wala status wala nini.

Hapa ujue una weakness mwanaume mkuu
 
Tized

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
4,023
2,000
Du!!! Kapuku miye, Acha tu sisi tusio na kitu tuendelee kujifariji na hizi nuu hapa chini.

"Money never made a man happy yet, nor will it. There is nothing in its nature to produce happiness. The more a man has, the more he wants. Instead of filling a vacuum, it makes one" by Benjamin Franklin

Ecclesiastes 7:14 ‘when times are good, be happy; but when times are bad, consider this: God has made the one as well as the other. Therefore, no one can discover anything about their future’
 
Hahaha endelea kujifariji
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,710
2,000
Yaaaani Mada kama hii ilitakiwa UNIITEE FREE AMBASADOR OF MONEY RELIGION!!!!!!!!! Basi bwana kwa kuwa umnignore mwenyekiti wako wa MONEY RELIGION mi ngoja nitambae!
 
PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,993
2,000
Kwa kweli hata kama ningekua na hela kuliko wote Afrika Siwezi lea mwanamke anayetaka pesa tu toka kwangu!

Guys life is not all about 'sex' you know?

Napinga mawazo yanayonifanya nifanye kila kitu nikitegemea kumpendeza mtu ambaye siku nikifail tu ataenda kwa mwingine. Ni sawa na kupaka rangi upepo ambao unapita.

Pia jamani women are people, they are not objects that needs maintenance. They can do things to take care of themselves. Yani ni udhalilishaji kusema kwamba ukimpa mwanamke hela anamuacha mmewe na kulala na wewe. Its like you have just called all women sluts(including your mother by the way)
 
C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,023
2,000
Yaaaani Mada kama hii ilitakiwa UNIITEE FREE AMBASADOR OF MONEY RELIGION!!!!!!!!! Basi bwana kwa kuwa umnignore mwenyekiti wako wa MONEY RELIGION mi ngoja nitambae!

Sio kama nilikosa kukuita hapana ila ni kwa sababu natumia techno hahaha
 
C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,023
2,000
Kwa kweli hata kama ningekua na hela kuliko wote Afrika Siwezi lea mwanamke anayetaka pesa tu toka kwangu!

Guys life is not all about 'sex' you know?

Napinga mawazo yanayonifanya nifanye kila kitu nikitegemea kumpendeza mtu ambaye siku nikifail tu ataenda kwa mwingine. Ni sawa na kupaka rangi upepo ambao unapita.

Pia jamani women are people, they are not objects that needs maintenance. They can do things to take care of themselves. Yani ni udhalilishaji kusema kwamba ukimpa mwanamke hela anamuacha mmewe na kulala na wewe. Its like you have just called all women sluts(including your mother by the way)

And dont forget that you aren in 21 century
 
Tized

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
4,023
2,000
Mkuu you ve got a point. thanks

Kwa kweli hata kama ningekua na hela kuliko wote Afrika Siwezi lea mwanamke anayetaka pesa tu toka kwangu!

Guys life is not all about 'sex' you know?

Napinga mawazo yanayonifanya nifanye kila kitu nikitegemea kumpendeza mtu ambaye siku nikifail tu ataenda kwa mwingine. Ni sawa na kupaka rangi upepo ambao unapita.

Pia jamani women are people, they are not objects that needs maintenance. They can do things to take care of themselves. Yani ni udhalilishaji kusema kwamba ukimpa mwanamke hela anamuacha mmewe na kulala na wewe. Its like you have just called all women sluts(including your mother by the way)
 
neggirl

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
4,838
2,000
Kumbe huyo binti aliekukataa ni mchagaaa.... Haha hahahaaaa . Chezeya mangi wewe!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom