Pesa mpya za BOT zaibiwa Airport?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,574
8,592
Inasemekana pesa za BOT Zimeibiwa Airport? Nikati yapesa mpya zilizokuwa zinaletwa nchini!
 
hizi kweli ni tetesi. maana hata habari yenyewe haijakamilika. Lini, kina nani walishiriki, imeripotiwa wapi!
 
Too early to say anything.. ila kama ni kweli sasa bongo usalama unakatisha tamaa kabisa nowdays.
 
Kama ni kweli basi IGP Mwema ilikuwaje hakupata taarifa za kiintelijensia? Nafikiri hapo ndio mahali pake zaidi ya kuwaua unprotected citizens kule Arusha!
 
Mmekuwa wageni bongo? Huo ni mkakati wa 'kiitelijensia' wa kuingiza pesa kwenye Chama Cha Majambazi!
 
Wana JF,

Duuuh hii inatisha sana kama Intelligencer ya Said Mwema inaweza kuwadhibiti waaandamananji huko arusha kwa nguvu kiasi kile iweje walishindwa kupata hizo taarifa za Ki intelligencer kwa wezi wa pesa za BOT, hapo hamuoni kuwa Jeshi letu la police na usalama wa taifa ni wanachemka tu na kufuata order za wakubwa na sio kwa ajili ya usalama wa Taifa??

Hizo pesa mpya za BOT kweli quality yake ni hafifu sana pesa ina wepesi kama tissue jamani khaaa walizitengeneza in cheap price hizo pesa kwa matumizi ya watanzania me siwaelewi BOT wametizama security ya pesa au quality ya pesa??
 
mimi NASHINDWA kabisa kuelewa inakuwaje taarifa za kiintelligence kwanini hazikuwafikia kuwa watu wanataka kuchakachua pesa mpya? au waliongea hivyo ili kuwaumiza tu watu wa Arusha na kwa kuwa ilikuwa ni chama chetu?
 
Hini inakuwaje mamalaka ya viwanja vya ndege ndio ikanushe kuwa pesa hazijaaibiwa airport? BOT wapo wapi ambao kmsingi ndio wahusika wakuu? Hakika hapa kuna bundi mweusi
 
Wana JF,

Duuuh hii inatisha sana kama Intelligencer ya Said Mwema inaweza kuwadhibiti waaandamananji huko arusha kwa nguvu kiasi kile iweje walishindwa kupata hizo taarifa za Ki intelligencer kwa wezi wa pesa za BOT, hapo hamuoni kuwa Jeshi letu la police na usalama wa taifa ni wanachemka tu na kufuata order za wakubwa na sio kwa ajili ya usalama wa Taifa??

Hizo pesa mpya za BOT kweli quality yake ni hafifu sana pesa ina wepesi kama tissue jamani khaaa walizitengeneza in cheap price hizo pesa kwa matumizi ya watanzania me siwaelewi BOT wametizama security ya pesa au quality ya pesa??

Polisi na vyombo vyote vya usalama wamejibainisha kuwa ni "jumuiya" ya chama tawala badala ya kuangalia usalama wa raia wote na mali zao bila kujali itikadi za vyama..
 
Hii ni kweli mimi pia nilisikia jana watu wakijadili swala hilo maeneo ya Airport,

Technicaly tunasema huu ni usanii wa CCM kwa sababu katika kusafirisha pesa kunakuwa na ulinzi mkali kiasi kwamba kama ni majambazi wa kweli tungepata taarifa kwenye vyombo vya habari. Lakini iweje pesa zichukuliwe kimya kimya, na wanaogopa wakichukua kwa purkuchani wanafahamu siku hizi hata sisi tunamiliki za moto tutawapasua bila kujali.

On the other side mimi sina imani na CCM kwani wamekuwa kimaslahi ya mafisadi zaidi na si wananchi.
 
Back
Top Bottom