Pesa mpya ni janga la Taifa.

k-star

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
541
381
kwa nini serikari inabadilisha badilisa pesa kwa raia wake.? . Hizi mpya sijaona uimara wake nilifikiri zitakuwa bora zaidi kuliko hizo za hapo awali. Sasa ni afadhari hizi mpya ziondolewe kwenye mzunguko maana zimechoka kabisa tubaki na zile za awali kabla ya hizi . Nawasilisha wakuu yangu ni hayo tu !
 
ZOTE HAZINA VIWANGO..
A.jpg
 
ZOTE HAZINA VIWANGO..
A.jpg

afadhari kidogo za zamani kuliko hizi za sasa angalia za sasa sh 500-2000 jinsi zilivyochoka yani ni shida tuu hii nchi kila kitu kinaendeshwa kisiasa !
 
Kwa kawaida ni baada ya miaka saba sijui kama nipo sahihi ila nna uhakiki!
.
Hufanya mabadiliko baada ya miaka hiyo!
 
Back
Top Bottom