Pesa mbili

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
Jamani nisaidieni kama kuna nchi ambayo inatumia pesa mpya na za zamani kwa wakati mmoja,hasa yanini kuchapa mpya wakati za zamani zipo kwenye mzunguko?angalia hiyo noti na uchakavu wake mnipe maoni yenu
 

Attachments

  • scan0003.jpg
    scan0003.jpg
    28.5 KB · Views: 186
sijui kwann hizi noti mpya zinachakaa ajabu yaani wametoa afadhali wameweka potelea mbali!
 
Mimi huwa napokea noti hizo kwa kinyongo sana wala huwa sipendi kukaanazo kabisa nazinunulia kitu hapohapo.
 
Hayo ndio mambo ya wazee wa "uchumi wa Tanzania unakua kwa asilimia ....."
 
Nchii hii ina wanasiasa uchwara, wanauchumi uchwara na wanamipango uchwara wewe unategemea nini kama si uchwara?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom