ngosha mchele
Member
- Dec 7, 2014
- 71
- 40
unyenyekevu peleka kanisani, maua kampe nyuki, pesa ndo hishma yote, hata kama unasura mbaya wewe ni babie, hata kama unakabamia hakuna atakae ona.
Ujue hata No 1 ni nyege tu zinamsumbua kwa hiyo akimaliza nae atasepa,kwa hiyo issue bado ngumuNo 1, pesa na maua vyote vitaisha