Pesa katika mapenzi (PICHA)

DJ Baraka

Senior Member
May 15, 2013
177
82
Mh.PESA!

attachment.php



P.jpg
 
siku hizi pesa ndo kila kitu
but I cant imagine my self kissing this babu
sijui nanilino yake mle ndani iko ktk hali gani

yataka moyo....,
Mtaka cha uvunguni shurti ainame hapo dada anataka hela na babu anataka lake hapo chacha. sasa sijui pia kutakua na kiss au maliza haraka nimechoka lol. Chezea pesa wewe
 
Swagga halilipi bili!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Picha haionyeshi kama huyo mzee anapesa ya kutosha ya kumuweka huyo dada mjini, yawezekana kiroho safi dada amependa labda ndo aliemtoa kizibo kipindi ana miaka 15 ama amemmfundisha mchezo mchafu 0713,hivyo ni ngumu kwa watu wengine inabidi amgande babu aendeleze alichokianzisha enzi za ujana wake.
 
Halafu siku hizi vijana wanavyopenda wazee, we acha tu.

Sijui ni kwaajili wazee kama hao wanapigaga goli moja halafu chali?

mademu wengi wa siku hizi hawawezi mziki mnene, wengi ni wavivu, nina ushahidi na hili, wanaogopa magoli mengi, hivyo kwa vibabu naona wanachukua kiulaini
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom