Pesa ina tafutwa TANESCO nao wamechachamaa..Awamu ya Tano ilifuja sana hela

Rufiji dam

JF-Expert Member
Feb 20, 2020
3,803
8,794
Mwenye macho asome kama upo kwenye matumizi madogo unapelekwa matumizi ya kati. Kazi iendelee.
IMG-20210724-WA0005.jpg
 
Hii maana yake nn
Yaani kuna wale wa matumizi ya chini ya unit 75 hapo kati baadhi yao walihamishwa kimakosa na kupelekwa tarriff 1,taneco inawaomba wale radhi wale wote ambao system yao iliwahamisha ilihali wanahaki ya kubaki na tarriff ya unit 75,nilivyoelewa mimi
 
Back
Top Bottom