MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,159
- 5,399
Nasema pesa hainunui haramu huu ni msemo ambao nimeutoa katika lugha yangu ambapo sisi husema (impiya zisyakala nkantu, au indalama zisyakala nkantu).
Nasema haya kwa kuwa mwenye pesa aweza kununua chochote kizuri anachotamani kuwa nacho haijalishi kiko wapi. Aweza kununua wanawake wazuri, viongozi wazuri, ardhi nzuri na mengineyo.
Mwenye hela (ndalama) aweza kuwa raia wa mataifa yote duniani kwa njia na mbinu mbalimbali.
Leo usalama wa taifa wanaelewa ni namna gani nchi yetu inawindwa kuwa dominated kisiasa, kiuchumi ili baadaye wawindaji waje kuwa na nyazifa kubwa za kutawala nchi hii.
Tunaoishi pembezoni tunajua hili. Leo jeshi letu limebeba watu wasio waaminifu wa mataifa ya nje sababu ya pesa tu.
Mataifa hatari kwa taifa letu ni wahutu, watusi, wasomali na waarabu hasa watusi.
Ndugu zetu Bukoba wamenyanyaswa mno na hawa watu walionunua vyeo na kuwa viongozi ndani ya serikali yetu na kuvitumia kuwanyanyasa wananchi.
Tangu lini huko Bukoba, Rukwa, Katavi, Morogoro mkulima aliwahi shinda kesi dhidi ya mfugaji.
Ninayasema kwa uchungu, ni wazi kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM mkoa wa Rukwa ni mtu wa nchi jirani huko kwa akina Nkuruzinza na Kagame.
Ni kweli mmempa uraia ili awe mtanzania lakini mmesahau kuwa hata kule anaingia kama mwenyeji na makazi anayo na intelijensia yenu sijui iko wapi bali mmelewa na misaada mnayoipata kutoka kwake kwenye chama.
Roho yake ni ya kule alikotoka japo mwili wake kawakabidhi ninyi nanyi mmemkabidhi siri za nchi. Jamani amkeni.
Kiburi cha kagame kwa Tanzania hadi alipoamua kumtusi JK kinaanzia hapa. Kumbukeni miaka si mingi kiongozi mkubwa jeshini aliondoka na kurudi ktk nchi hizo.
Yanayowapata wakongo man ipo siku yatatukuta na sisi maana wote tunajua kabila Joseph jina ambalo si lake lote jinsi anavyochuma kupitia Kongo.
Angalia jinsi raslimali za Kongo zinavyonufaisha Burundi, Rwanda na Uganda. Kuna uchumi gani kwa kagame au kwa nkurunzinza.
Watanzania tuwe makini umasikini wa fikra ni hatari kuliko kansa ya damu au moyo maana ccm imewainamisha watanzania hadi wanaogopa kuhoji lolote.
Aliyeinamishwa ni muoga hawezi kusema lolote daima. Hivi Rukwa hakukuwa na wanaccm wengine wenye sifa hadi mnaamua kumpa mgeni cheo kikubwa kama hicho usalama mko wapi?
Watoto waliozaliwa na baba mmoja wana haki sawa ila hawana haki sawa na watoto wa binamu au jirani.
Sitangazi ubaguzi ila hakuna ubaguzi mbaya kama kunyanyasa watoto wako kisa litoto ulilookota jalalani lililotupwa na wazazi wake baada ya njaa kali nyumbani au Vita.
Haya yanatokea nchi nzima yanapishana ukubwa tu ila Bukoba, Kigoma, Katavi na Rukwa ni waathirika wakubwa.
Narudia yule Mwenyekiti mpya aliyechaguliwa mkoani Rukwa kwenye chama chetu tumemchagua kwa sababu ya hela zake au kwa kuwa ni mrefu sana au ikoje? Kuishi kwake Tanzania kunatosha na unufaikaji wake na Tanzania unatosha lakini kitendo cha kumpa mgeni ikulu ni kujitafuna wenyewe.
Jioni njema.