Pesa 2 Basili Mramba Yuko wapi Jamani?

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Wana JF habari za hapa? Natumaini wote mu wazima wa afya, Naomba kuwauliza wana Greaty Thinkers tokea uchaguzi uishe kwenye kile kinyanganyiro cha kuwapata Madiwani/Wabunge na Raisi sijapata kumtia machoni yule muheshimiwa wa kule Rombo baada ya mshikaji wake kumnadi lakini akapigwa chini hivi yuko wapi jamani? Hata kwenye matokeo ya Uraisi hakuonekana na hata kwenye sherehe za kumwapisha hasimu wake pia hajaoneka! Kulikoni jamani? Kwangu mimi sintamsahau kwa ile kauli yake aliyoitoa kua Nyasi mtakula lakini penda msipende Ndege ya Raisi lazima inunuliwe! pia sintamsahau kwa kutuachia SIGNATURE yake kwenye noti halali kwa malipo ya TZ Mungu ambariki huko aliko na pia namtakia apambane na ile kesi yake inayomkabili.
 
Nasikia yuko kwa Mama Anna Mkapa wanaliwazana si unajua ni mzazi mwenzie bana...
:redfaces:
 
Wana JF habari za hapa? Natumaini wote mu wazima wa afya, Naomba kuwauliza wana Greaty Thinkers tokea uchaguzi uishe kwenye kile kinyanganyiro cha kuwapata Madiwani/Wabunge na Raisi sijapata kumtia machoni yule muheshimiwa wa kule Rombo baada ya mshikaji wake kumnadi lakini akapigwa chini hivi yuko wapi jamani? Hata kwenye matokeo ya Uraisi hakuonekana na hata kwenye sherehe za kumwapisha hasimu wake pia hajaoneka! Kulikoni jamani? Kwangu mimi sintamsahau kwa ile kauli yake aliyoitoa kua Nyasi mtakula lakini penda msipende Ndege ya Raisi lazima inunuliwe! pia sintamsahau kwa kutuachia SIGNATURE yake kwenye noti halali kwa malipo ya TZ Mungu ambariki huko aliko na pia namtakia apambane na ile kesi yake inayomkabili.

Si yule panga la zamani lenye makali? Labda anasimamia ile hoteli ya kibo pale Arusha maana nilisikia kibano kilipozidi aliuza share kwa wakenya . Ni mzee wa vituko sana alisema" ndege lazima inunuliwe maana mkapa hawezi panda punda".
 
HANG ON A MINUTE!!!!! Unamaanisha Basiri Mramba alizaa na Mama Anna Mkapa?, Au nimeelewa vibaya?

mbona hili ni wazi kabisa,inaonekana husomi siasa za tanzania.
mmakondemwenzangu wachaga walimpeleka puta sana

m
 
Ile ilikuwa danganya toto tu,hana kesi yeyote.Tanzania bwana,safi sana,jamaa anatesa tu utadhani sio kibaka.Noma sana.
Wana JF habari za hapa? Natumaini wote mu wazima wa afya, Naomba kuwauliza wana Greaty Thinkers tokea uchaguzi uishe kwenye kile kinyanganyiro cha kuwapata Madiwani/Wabunge na Raisi sijapata kumtia machoni yule muheshimiwa wa kule Rombo baada ya mshikaji wake kumnadi lakini akapigwa chini hivi yuko wapi jamani? Hata kwenye matokeo ya Uraisi hakuonekana na hata kwenye sherehe za kumwapisha hasimu wake pia hajaoneka! Kulikoni jamani? Kwangu mimi sintamsahau kwa ile kauli yake aliyoitoa kua Nyasi mtakula lakini penda msipende Ndege ya Raisi lazima inunuliwe! pia sintamsahau kwa kutuachia SIGNATURE yake kwenye noti halali kwa malipo ya TZ Mungu ambariki huko aliko na pia namtakia apambane na ile kesi yake inayomkabili.
 
Ile ilikuwa danganya toto tu,hana kesi yeyote.Tanzania bwana,safi sana,jamaa anatesa tu utadhani sio kibaka.Noma sana.

Pesa mbili mramba,grey mgonja na daniel yona wanatarajiwa kupandishwa mahakani June 27 2012 kwa kuisababishia hasara serikali zaidi ya bil11.
 
Mara nyingi anakuaga pale Kibo Palace Arusha. Ila hapendi sana kuonekana kwa watu. Siku hizi kanenepa sana, pesa ipo na ameridhika na maisha sana. Anasimamia biashara zake nyingi ambazo anatembelea kama mgeni kumbe ni mmliki!! Chezea kibeberu wewe???
 
Anajificha sana siku hizi huku akiendelea kutanua na mapesa yake ya ufisadi alioufanya akishikiriana na Mkapa.
 
Wana JF habari za hapa? Natumaini wote mu wazima wa afya, Naomba kuwauliza wana Greaty Thinkers tokea uchaguzi uishe kwenye kile kinyanganyiro cha kuwapata Madiwani/Wabunge na Raisi sijapata kumtia machoni yule muheshimiwa wa kule Rombo baada ya mshikaji wake kumnadi lakini akapigwa chini hivi yuko wapi jamani? Hata kwenye matokeo ya Uraisi hakuonekana na hata kwenye sherehe za kumwapisha hasimu wake pia hajaoneka! Kulikoni jamani? Kwangu mimi sintamsahau kwa ile kauli yake aliyoitoa kua Nyasi mtakula lakini penda msipende Ndege ya Raisi lazima inunuliwe! pia sintamsahau kwa kutuachia SIGNATURE yake kwenye noti halali kwa malipo ya TZ Mungu ambariki huko aliko na pia namtakia apambane na ile kesi yake inayomkabili.

Nahi yupo katulia sehemu anakula zile hela alizowaibia watanzania akisubiria kesi yake itakayohitimishwa mwezi huu nae wajitahidi kumfunga miaka michache ili kutuhadaa waTz huku wezi wadogowadogo wa kuku wakifungwa miaka 30
 
Mara nyingi anakuaga pale Kibo Palace Arusha. Ila hapendi sana kuonekana kwa watu. Siku hizi kanenepa sana, pesa ipo na ameridhika na maisha sana. Anasimamia biashara zake nyingi ambazo anatembelea kama mgeni kumbe ni mmliki!! Chezea kibeberu wewe???

Ambacho kilitamka hadharani mbele ya wamama ktk kampeni eti ya kuwa rombo hakuna mwanamke aliyeweza kuzaa kiongozi tofauti na mama yake namshukuru Mungu pamoja na warombo wakamwonyesha hicho kiburi chake na ulevi wa madaraka alikuwa akifikiria visivyo sahihi!
 
Anajificha sana siku hizi huku akiendelea kutanua na mapesa yake ya ufisadi alioufanya akishikiriana na Mkapa.

Raha kweli walishare mke, wakashare kuiba na sasa kila mmoja anakufa kivyake
 
Umeelewa sahihi kabisa ila ni kabla ya kuolewa na ben
Zigo lina zali sana ya kupendwa na mawaziri wakati halilipi hata kidogo na lina watoto wa pembeni, sijui anawapa nini. Anavaa kikuku?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom