Pesa 2 Basili Mramba Yuko wapi Jamani?

Ilikuwa yake ile ila nasikia kamuuzia uhuru kenyata.Ujaona mgt ya wakenya
Mara nyingi anakuaga pale Kibo Palace Arusha. Ila hapendi sana kuonekana kwa watu. Siku hizi kanenepa sana, pesa ipo na ameridhika na maisha sana. Anasimamia biashara zake nyingi ambazo anatembelea kama mgeni kumbe ni mmliki!! Chezea kibeberu wewe???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom