Msuya Jr.
JF-Expert Member
- May 31, 2013
- 1,691
- 899
Kampuni niliyokuwa nafanya kazi, waliwapa hawa jamaa contract ya u payroll na mambo ya malipo ya mafao.
Ni miezi 3 sasa mimi na wafanyakazi wenzangu tukienda kudai mafao yetu, huko LAPF, tunaambiwa payroll wenu hajaleta michango ya karibu miezi 6 sasa.
Tukiwafuatilia wana sababu kibao, maradhi cijui document ziko wapi, yani hawa ni makanjanja tuu hapa mjini kutuibia,
Please mheshimiwa Rais magufuli angalia hili jipu la hizi kampuni za uajiri, kwanza zinatukata asilimia kubwa sana ya mshahara wetu.