PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Ram kuipata Ni rahisi Ila cpu na Graphics wamekaza balaa
Labda gpu tu.

I5 3rd gen siku hizi nyingi sana na bei chee.

Halafu chief naona kuna gtx 1650. Vipi iko vizr ukifananisha na 1050ti naona bei zimefanana. Ila gtx 1650 imetoka mwaka huu.
 
Yah ipo vizuri Sana, 1650 kwa benchmark za upesi upesi Ni Kama 30% more powerful kuliko 1050ti, naona pia umeme inakula kidogo. Sema ubaya wake wanaweka nyingi dual slot, inazingua kwa hizi PC zetu za kibongo bongo.

Mkuu hio Ni 3rd gen ya desktop, equivalent yake kwa laptop Ni machine ya Bei ndefu, even i7 7th gen u series haifikii hio i5 ya 3rd gen.
 
Dual slot"? Sijakupata.
 
Dual slot"? Sijakupata.
Angalia hii picha
1134_single-slot-vs-dual-slot-gpus.jpg

PC ndogo nyingi hazikubali dual slot gpu hata Kama zinatumia umeme kidogo.
 
Mkuu vitu vya kimarekani vinakuwa rahisi zaidi marekani.

Dola 114 baada ya rebate.
 
Mkuu hiyo FIFA19 android Offline naomba specification ya android inayoitajika, halafu mpaka uwe na PSPP au inatumia Obb kama FTS?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom