Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 19,871
- 38,489
- Thread starter
- #541
Labda gpu tu.Ram kuipata Ni rahisi Ila cpu na Graphics wamekaza balaa
I5 3rd gen siku hizi nyingi sana na bei chee.
Halafu chief naona kuna gtx 1650. Vipi iko vizr ukifananisha na 1050ti naona bei zimefanana. Ila gtx 1650 imetoka mwaka huu.