PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

sawa nasubir nitashkuru kwa msaada wako
 
wakuu ninayo hp
i5-5200U (2.2GZ)
Ram 8
HDD 650GB
video graphics (4000HD)
naweza piga game gani la mpira latest
 
wakuu ninayo hp
i5-5200U (2.2GZ)
Ram 8
HDD 650GB
video graphics (4000HD)
naweza piga game gani la mpira latest
Graphics hapo inakuangusha mkuu.

Labda ujaribu kwa low settings kabisa.

Ila fifa 15 kurudi nyuma na pes 2017 kurudi nyuma unacheza bila shida.
 
mkuu Troublemaker
mashine yenye Core i5
Ram 8gb
intel Hd 46000
4th generation
unaweza cheza fifa gani ?
 
fifa 15 kurudi nyuma

ukiforce kinatokea hichi ktk fifa 19 na 18

Ina hiz specification
1564323951459.jpeg
 
Fifa 16 haina tofauti na 19 requirements zake. Halafu hakuna crack ya fifa 16


Tafuta 14 au kibishi 15.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom