PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Ni hizi USB gamepad natumia kwenye laptop. ila zimeandikwa dual shock USB controller
Umeshawahi kuisikia hata siku moja iki vibrate? Maana wachina kwa kuandika andika tu wapo vizuri. Kama umeeka drivers zake na still haitoi vibration pengine haina hardware husika humo ndani. Ni zile za 10,000?

Next time tafuta pad ya xbox 360 ama ps3 hizi zinapatikana kwa bei nzuri na zina features nyingi.
 
Jamani pes inanisumbua kwny champions league timu yangu ikikutana na barcelona game inaleta error
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom