PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

SAWA NNA DOWNLOAD FIFA MAANA NIMEONA GAMEPLAY NIMEIPENDA SANA 2021 SI AICHEZI NA MB
Yes ni offline tu pia ingekuwa vixuri ungedownload cracked files za FIFA maana kudownload mzigo mzima ni kazi bora uende nao kwa files mojamoja......ila kama umeanza sio mbaya.
 
nilipo speed iko vizuri halotel night bundle inamaliza usiku mmojaa acha niamie fifaaa nimependa sana mtangazaji mpka graphiiccs hii game yaonekana noma sana nimejikuta naichukia pes ghaflaaa
nasikia kwenye fifa adi mtu anashikaa
 
Pia
Pia check kama requirement za pc yako zinaruhusu kucheza hiyo game maana FIFA inakuwaga na requirement kubwa kuliko PES
mambo vipi mkuu samahani ningependa unifahamishe kwa mujibu wa specification za desktop yangu vipi ninauwezo wakucheza magemu kama vile battlefield au magemu mengine ya kivita RAM 4
 
Attachments

  • Untitled.jpg
    Untitled.jpg
    63.9 KB · Views: 8
Habari wapenda gemu wenzangu, Naombeni kwa aliye teali nahitaji magemu kadhaa nami nianze kuinjoy kama ilivyo kwenu kwa msaada lakini asinichaji hela nipo DSM.
 
Habari wapenda gemu wenzangu, Naombeni kwa aliye teali nahitaji magemu kadhaa nami nianze kuinjoy kama ilivyo kwenu kwa msaada lakini asinichaji hela nipo DSM.
njoo chukua gta v niko chamazi dsm nima games kadhaa wwe nina pes nina watchdog 2 bure na ka eextenal chako tu njoo chukusa
 
nilipo speed iko vizuri halotel night bundle inamaliza usiku mmojaa acha niamie fifaaa nimependa sana mtangazaji mpka graphiiccs hii game yaonekana noma sana nimejikuta naichukia pes ghaflaaa
nasikia kwenye fifa adi mtu anashikaa
Hawa jamaa mpaka kusukumana kupo, kushika n.k

Mchezaji kupiga danadana, kanzu n.k ni vitu vya kawaida.

Nawapenda pia Martin Tyler na Alan Smith ktk utangazaji, Fifa ni Game tamu sana, sana katika Master League.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa watangazaji hamna kitu mkuu.
Wangepata leseni ya Peter Dury na Jim beglin ndio wako vizuri. Hata Joe Champion si mbaya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom