Ungeweka model yake na picha sasa mkuu.gaming pc ipo sokoni. dell
8gb ram
hdd 1tb
amd radeon 4gb
bei 650
Ipo mkuu.
Site ipi?Mkuu troublemaker habari najaribu download Option file for winter 2020 inagoma naishia kwenye ad tu ambazo hazinipeleki sehemu husika.... Nifanyaje hpa
Sent using Jamii Forums mobile app
nligoogle option file by micano4u pia nkagoogle ya Wahab zote znazingua... Ipi ni website nzuri ya kuchukulia hizi option file?Site ipi?
Matangazo hayakwepeki hapo ni kuendelea kucancel hadi ufanikiwe.nligoogle option file by micano4u pia nkagoogle ya Wahab zote znazingua... Ipi ni website nzuri ya kuchukulia hizi option file?
Sent using Jamii Forums mobile app
ngoja nitapambana tena kesho nione nafikia wapiMatangazo hayakwepeki hapo ni kuendelea kucancel hadi ufanikiwe.
Sijaitumia lakini itakuwa fresh nafikiri backup tu game lako mahali then ndio uiweke ukiona hujaipenda unaendelea tu game lako la awali.
Kidogo nimekuwa busy sijashusha mizigo kabisa bado niko na smokepatch17(update17.1.6) ya tangu mwaka jana.Mkuu troublemaker vp patch yako unayotunia ni next season patch au ipi na naomba nielekeze jinsi ya kudownload patches kwa kutumia torrent maana GB 6 sio mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Micano naona ndio huwa wanatoa torrrent link.Pole nakazi mkuu... ila kuipakua kwa kutumia torrent inawezekana??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo si ipo ndani ya call of duty modern warfare ambayo hata crack hakuna bado?Kwa wale wenye game mpya ya Call of Duty; Battle Royale Warzone ya pc mode, tujuzane wakuu...
Sent using Jamii Forums mobile app