Pes 2018

kabla ya kudownload na kuinstall games kubwa angalia gb zake, sehemu ulipoitoa(website) na graphic adapter ya intel (kwnye pc yako ukirightclick desktop)
jaribu kudownload pes 18 kutoka oceanofgames.com tumia internet download manager
 
Mkuu nilikuwa natumia IDM ile ya trial ya siku 30...sasa baada ya siku hizo kuisha naambiwa niinunue na nimejaribu kuiondoa na kudownload upya imegoma....vipi wewe unatumia ya free?
 
Mkuu unapatikana wapi nina PES17 Nimeweka patch na option file la usajili wa January 2019, nataka nikurushie bure kabisa..... Kudownload mwenyewe lilinishinda ila shukrani Wakuu humu walinielekeza jinsi ya kuweka patch
Sorry wana jf kila nikifanya instalation ya pes 2018 ikifika kati pc inazima sijui nakosea wapi wakuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom