omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
Sorry wana jf kila nikifanya instalation ya pes 2018 ikifika kati pc inazima sijui nakosea wapi wakuu?
Sorry wana jf kila nikifanya instalation ya pes 2018 ikifika kati pc inazima sijui nakosea wapi wakuu?
PC yako ina uwezo gani? RAM? Processor? etc
Mkuu nilikuwa natumia IDM ile ya trial ya siku 30...sasa baada ya siku hizo kuisha naambiwa niinunue na nimejaribu kuiondoa na kudownload upya imegoma....vipi wewe unatumia ya free?kabla ya kudownload na kuinstall games kubwa angalia gb zake, sehemu ulipoitoa(website) na graphic adapter ya intel (kwnye pc yako ukirightclick desktop)
jaribu kudownload pes 18 kutoka oceanofgames.com tumia internet download manager
jaribu kuongeza RAM, PES 18 inahitaji RAM 8GB. uwezo wa graphics ukoje?Ram 4 processor core i7
Sorry wana jf kila nikifanya instalation ya pes 2018 ikifika kati pc inazima sijui nakosea wapi wakuu?
Ram 4 processor core i7