Pes 2014

kholo

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
413
75
Heshima kwenu wadau, naomba mwenye maujuzi anisaidie kuinstall gemu ya mpira(pes) kwenye pc maana nimeinstall lakini nikirun inaniambia niinsert disc. Plz help wadau
 
nauhakika asilimia 99 hujanunua ni game la wizi. na kila game la wizi lina style yake ya kueka hivyo ni bora ungerudi ulipo downloadia ukasome vizuri maelekezo au hata utoe link mtu akuangalizie.

halijaja na folder la crack?
 
cd 2014 ni ngumu sana bora ya 2013
 
nauhakika asilimia 99 hujanunua ni game la wizi. na kila game la wizi lina style yake ya kueka hivyo ni bora ungerudi ulipo downloadia ukasome vizuri maelekezo au hata utoe link mtu akuangalizie.

halijaja na folder la crack?
Mkuu #Chief , sijaiba nimeliomba tu kwa rafiki yangu akanipatia lakini kama una jua namna ya kufanya naomba unisaidie mkuu
 
Umejieleza vizuri sana, KAMA UMECOPY Folder Ongea na aliye kupa akujuze, vizuri kama yeye kwake lina Run, PES huwa zinakuwa na CD zake ila Kama, ni la kudownload ki wiz huwa na CRACK ambapo ndiyo ya kwanza kuingza ila uki install kawaida lazma lidai CD,
.
angalia pia Adobe Photoshop Za wiz nazo bila kuanza na CRACK lazma idai CD ndipo u continue na Installation.
 
Mkuu #Chief , sijaiba nimeliomba tu kwa rafiki yangu akanipatia lakini kama una jua namna ya kufanya naomba unisaidie mkuu

kaka kila cracer ana njia zake za kucrack software hivyo hapa ninachofanya ni kuotea tu.

huyo mwenzako mwambie akufundishe ye kaekaje hio ndio solution nzuri.

kama unataka tuendelee kuotea otea sawa labda ungenambia hilo folder au file ulilochukua lina nini na nini ndani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom