feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 6,799
- 12,609
Mkuu nashukuru umenielewa nilulichozungumza.Hilo ni swali nilimuuliza kaka pascal nimeshangaa kumuona nyumbu fulani hapo juu hajaelewa nilichokua namaanisha anaanza kuita watu wapumbavu.
Nakubaliana na wewe Mh Rais utawala wake unatiwa doa kwa mambo kama haya leo nimeona clip ya yule kibajaji anazungumza kwa kutamba vitu vya hovyo sana.
Mwisho Awamu zote zilizopita hatujuwahi kushuhudia unafki kama awamu hii.
Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kama ambavyo amachangia kukamatwa kwake basi anaweza kuchangia pia kuachiwa kwake, na imeshabainika wakosoaji wa serikali wanapewa hizi kesi ili kukomolewa unadhani bado hawajamkomoa kabendera kiasi cha kutosha. Aisee rais wetu Mungu utupe tu uzima tushuhudie mwisho wake Ila nahisi hautakuwa mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app