Personal attacks kwa Dr. Ulimboka zimeanza! Waziri mkuu kadhihirisha utendaji duni

Badala ya kuzungumzi madai na solutions,anakuja na CV,anataka kuua mpango mzima wa chanzo cha mgomo.

muwe mnafatilia habri zenyewe sio kusubiri vi uzi humu nakuanza kuchangaia usichoelewa!! Kila kitu kakieleza hata kama hatujakubaliana nae!
 
....Ndiyo zao hizo lazima waweke mkwara mzito sana dhidi ya Ulimboka mpaka aogope kuongoza jahazi....inasikitisha sana kusema kweli.
Ni muhimu kujua unadeal na nani. Tumeshamjua kumbe ni daktari uchwara tu aliye radhi watu wafe kwa kuendekeza maslahi na misifa tu.
 
Rekodi za Intellejensia ziko hivyo kwa mujibu wa PM ama mkuu hukumfuatilia PM Karimjee?? Madaktari wamepewa upendeleo mkubwa;
Kianzio cha mshahara fresh graduate

1. Daktari ; Tshs. 700,000/= na nyumba au posho ya nyumba
2. Mhandishi; Tshs. 600,000/=
2. Mhasibu Tshs. 368,000/=
3. Administrator; Tshs. 300,000/=

Leo watanzania wamepata uhalisia wa mambo

Ni wehu kupambanisha umaskini!!chukua hizo 700,000/= toa kodi 14.5% (101500)-ppf/nccf 5% (35,000) hapo zinabaki (take home) ni sh 563500/= baada ya hapo toa matumizi ya lazima nauli ya kwenda kazini 3000/= x 30 = 90,000/=,kula kwake kazini pamoja na chai 7000/= x 30 =210,000/=,nyumba (posho ya nyumba ipo kwenye maandishi) 200,000/=,bill ya umeme 40,000/=,bill ya maji 20,000/=,vocha 20000/= mpaka hapa balance ni -16500 bado matumizi ya familia ambapo siku hizi 20,000= kwa siku hazitoshi,bado dharula na watoto shule.

Ni mwehu tu anayeweza kuona kuwa hizo pesa ni nyingi,na utashangaa mwingine anauliza wengine wanaishi vipi?naomba tuelewe kuwa watumishi wanaishi kwa shida sana,la msingi hapa ni kusema watumishi wote waangaliwe kuliko kulinganisha vipato ambavyo ni vichekesho,je huyo pinda akipewa hizo laki 7 anaweza kumaliza hata wiki 1?akumbuke kuwa ana nafsi kama wengine anakula kama wengine,hata kama ni madaraka amuogope hata mungu.
 
unafikiri kweli kama mwakyembe angakuwa kapewa sumu angekaa kimya basi atakuwa si mwakyembe ninayemfahamu mimi hajui kumung'unya maneno angesema tu. kukaa kwake kimya maanake ni ugonjwa wa Mungu.

nimemuona S Sita akiwa na Mwakembe kwenye mkusanyiko wa maombi leo akithibitisha kuwa kapewa sumu. Source ITV tarifa ya 8pm.
 
Rekodi za Intellejensia ziko hivyo kwa mujibu wa PM ama mkuu hukumfuatilia PM Karimjee?? Madaktari wamepewa upendeleo mkubwa;
Kianzio cha mshahara fresh graduate

1. Daktari ; Tshs. 700,000/= na nyumba au posho ya nyumba
2. Mhandishi; Tshs. 600,000/=
2. Mhasibu Tshs. 368,000/=
3. Administrator; Tshs. 300,000/=

Leo watanzania wamepata uhalisia wa mambo

Lo aibu yao hao madaktari na tena kumbe kiongozi wa mgomo anafanya kazi NGO hata wakifukuzwa haoimuhusu na wala hana maslai na mishahara yenyewe....angalia mishahara yao wanavyopendelewa then hata wakipoangwa kigoma hawataki kwenda
 
....Ndiyo zao hizo lazima waweke mkwara mzito sana dhidi ya Ulimboka mpaka aogope kuongoza jahazi....inasikitisha sana kusema kweli.

Hahaha BAK wananikumbusha issue ya Mgaya. Yaani JK aliwaita wazee wa Dar ili kuja kumshambulia Mgaya. Naona wanajiaminisha kuwa strategy ile ilifanikiwa sasa wanataka kuitumia kwa Ulimboka.
 
Namjua nje-ndani Dr Ulimboka;ni Dr wa ukweli mwenye cheti;Pinda kama kasema hivyo basi kaongopa tu kufuatia kiwewe cha mgomo!By the way kama hana cheti ilikuaje apelekwe intern?Usipomaliza intern ndiyo unakuwa siyo Dr?Kipi kinatangulia kati ya kuapa kiapo cha uaminifu kuwa Dr au intern?

Pinda hajui asemalo na ni aibu kwa kiongozi wa level ya MP kuwa muongo!
 
kalishwa sumu na blandina!!kwi kwi kwi
 
Watanzania bwana tunapenda kuangalia matatzo ya wenz2,kwa ubya et" movie ndo inaanza" so what?wezio wamejkwmua ww bei ya mkate imepanda mafuta, umeme,we upo 2 unag'a sharubu eti movie ndo inaanza,hv watanzania ni nan aliewaroga?mbna mjitambui,hata sudan kusini kinchi chenye umri wa mie 9 kinawazidi?pyhuuuu.!!
 
unafikiri kweli kama mwakyembe angakuwa kapewa sumu angekaa kimya basi atakuwa si mwakyembe ninayemfahamu mimi hajui kumung'unya maneno angesema tu. kukaa kwake kimya maanake ni ugonjwa wa Mungu.

Wewe uko dunia ya ngapi?hujui leo alipokuwa kanisani kasema wazi kuwa alilishwa sumu?inavyoonekana wewe ni gamba
 
Namjua nje-ndani Dr Ulimboka;ni Dr wa ukweli mwenye cheti;Pinda kama kasema hivyo basi kaongopa tu kufuatia kiwewe cha mgomo!By the way kama hana cheti ilikuaje apelekwe intern?Usipomaliza intern ndiyo unakuwa siyo Dr?Kipi kinatangulia kati ya kuapa kiapo cha uaminifu kuwa Dr au intern?

Pinda hajui asemalo na ni aibu kwa kiongozi wa level ya MP kuwa muongo!
Unaposema unamjua ulimboka 'nje-ndani' una maanisha nn? Kama ww ni mamsap wake tujulishe! Na utuwekee hapa cv zake tuzione.
 
Kama vipi wanyaki waunganishwe na Malawi tu maana, tumewachoka huku Tanganyika. wamekuwa wasumbufu mno kwa serikali
 
Personal attacks are not better techniques to tackle the current problems, Pinda is totally in astray!! How come while docs are in a serious demands, then a person of PINDA'S rank pops in to disambiguate the link-leader's profession???? Hiki kilichofanyika na PINDA (aka Mtoto wa Mkulima) not acceptable style ya kunyamazisha watu, kuna watu feki wangapi huko serikalini aliko??...au ni ujinga wake tu wa kutaka tuwaone baadhi ya watu kuwa hawafai....NOOOO!! he (Pinda) and other govt officials can buy only mbumbumbu wenzao na sio the entire nation. Kama ni kudili na fake people angeanza na hao aliokuwa nao serikalini kwa mujibu wa "Bw. Msemakweli Kaneirugaba", anataka kuhamisha attention ya watu. Inabidi kumpuuza au akitaka afanye upekuzi wa kina yeye binafsi na akishajiridhisha kuwa Bw. Ulimboka sio Dactari ampeleke mahakamani to face cahrges of forgery etc.
 
madaktari msikubali,kesho mgomo aluta continua....mpaka limwage chozi tena....baba zima linalia lia hovyo,
 
Namjua nje-ndani Dr Ulimboka;ni Dr wa ukweli mwenye cheti;Pinda kama kasema hivyo basi kaongopa tu kufuatia kiwewe cha mgomo!By the way kama hana cheti ilikuaje apelekwe intern?Usipomaliza intern ndiyo unakuwa siyo Dr?Kipi kinatangulia kati ya kuapa kiapo cha uaminifu kuwa Dr au intern?

Pinda hajui asemalo na ni aibu kwa kiongozi wa level ya MP kuwa muongo!

Huyu ni baba wa uongo siku zote,kumbuka sakata lake na mhe Lema!!!
 
nimeshangazwa sana na kauli wa waiziri mkuu kufuatilia personal profile ya dr. Ulimboka.

updates
- alichokisema waziri mkuu:

Kaeleza jinsi dr. Ulimboka alivyowahi kuongoza mgomo wa madaktari nchi nzima mwaka 2005. Aeleza pia kwamba kumbukumbu hazioneshi kwamba dr ulimboka alimaliza internship hospitali ya muhimbili. Kaenda mbali pia kusema amepewa barua ya dr ulimboka kwenda chama cha madaktari kukiri kutojihusisha na ushawishi wowote kwenye masuala ya migomo mwaka 2005 baada ya kusamehewa na rais asifutiwe uanachama wake.

mafilili
today 22:22
#9 jf senior expert member array

join date : 28th april 2011
posts : 489
rep power : 341

icon1.png
re: Ni sahii waziri mkuu kusoma profile ya mtumishi hadharani

msingi wa yote ni kiburi cha madaktari kukataa wito wa mkubwa. Ndipo watanzania tumejulishwa dr. Ulimboka mtu gani:
1. 2005 aliongoza mgomo muhimbili
2.. Akasimamishwa na kupewa onyon kali na mat
3. 2006 rais akampa msamaha
4. Aliandika barua kwa mat kuomba msamaha na kuahidi atajihusisha tena na migomo
5. Rekodi zinaonyesha mafunzo ya intern hajamaliza
6. Hana cheti cha udaktari
7. Ni mfanyakazi wa ngo ya ukimwi

hapo pinda asilaumiwe bali ulimboka ahukumiwe kwa kuwaburuza madaktari

nafikiri uanjaribu kutuintimidate lakini umeshindwa
Dr ulimboka ni daktari super smart kuliko wewe unavyodhani
jamaa huyu ni genious sio kilaza kama wewe
huyu jamaa ni exceptional
he thinks faster than u have ever imagined
ni Daktari mwenzetu kupractice ni maamuzi ya mtu lakini afya
inahusu kazi nyingi hasa unaweza kujiengage na curative
or preventive services preventive services hazihitaji
registration

ni sawa na jumuia ya engineers au lawyers haijalishi unafanya kazi wapi
be it private au public sector atabaki kuwa na profession yake
na lazima awe members wa profession association ambayo yeye anabelong
hivyo toa pumba zako hapa kilaza mkubwa

DR. Ulimboka ni aina ya watu wachache wanaoweza tokea in generations......

Si mnafiki,inteligent, selfless guy, nashindwa hata kumdescribe zaidi....

HUU MGOMO SI WA ULIMBOKA ULIMBOKA ALIKUJA BAADAE SANA
KUSEMA NI MGOMO WA ULIMBOKA PIA NI KUTUTUSI MADAKTARI
KILAZA MKUBWA WEWE NA ULIYE MQUOTE........
 
Back
Top Bottom