Personal attacks kwa Dr. Ulimboka zimeanza! Waziri mkuu kadhihirisha utendaji duni

katika maajabu niliyoyaona nchi hii ni hayo ya PM Pinda, nadhan alikua hajui akisemacho
 
Mkuu fafanua nielewe maana umeongea kama vile nilikuwepo hapo .Kasoma profile ya nani kwa nini akiwa anataka kusema nini ili aeleweke ?Details in detail tafadhali .
 
Rich dad ni mtanzania wa kawaida, hana tamaa mbaya kama PM mzima ku sign posho ya laki mbili na elfu themanini. Waziri ambaye anapenda public sympathy kwa kulialia ovyo utafikiri alionewa kupewa uwaziri mkuu.
aliyeanzisha thread utafikiri naye yuko kwenye mgomo wa kutupa habari kamili. Rich Dad ni nani? katokea wapi?
 
Msingi wa yote ni kiburi cha madaktari kukataa wito wa mkubwa. Ndipo watanzania tumejulishwa Dr. Ulimboka mtu gani:
1. 2005 aliongoza mgomo Muhimbili
2.. Akasimamishwa na kupewa onyon kali na MAT
3. 2006 Rais akampa msamaha
4. Aliandika barua kwa MAT kuomba msamaha na kuahidi atajihusisha tena na migomo
5. Rekodi zinaonyesha mafunzo ya intern hajamaliza
6. Hana cheti cha udaktari
7. Ni mfanyakazi wa NGO ya UKIMWI

Hapo Pinda asilaumiwe bali Ulimboka ahukumiwe kwa kuwaburuza madaktari
 
pinda alikuwa akisoma profile ya dr steven ulimboka ambaye ni kiongozi wa kamati ya madaktari,hotuba ya pinda ilikuwa inarushwa TBC.
 
unafikiri kweli kama mwakyembe angakuwa kapewa sumu angekaa kimya basi atakuwa si mwakyembe ninayemfahamu mimi hajui kumung'unya maneno angesema tu. kukaa kwake kimya maanake ni ugonjwa wa Mungu.

fuatilia habari leo kasema nini ng Sitta kasema nini.
 
Huu ni upumbavu wa hali ya juu. Kama serikali inaweza kuwapeleka viongozi kutibiwa India kwa gharama kubwa, kwanini ishindwe kuongeza mishahara ya madaktari hapa nyumbani?. Kwanini tunasomesha madaktari hapa Tanzania kama hatuwapi thamani na heshima husika?. Kwanini tuna jenga mahospitali hapa Tanzania?.

Ninaishauri serikali kuwa makini sana katika suala hili. Linaweza kuzua mgogoro mkubwa ambao unaweza kuzaa machafuko makubwa nchi nzima. Sikilizeni kero na malalamiko ya madaktari, wapeni majibu ya uhakika na wala si longolongo.

Kama posho za wabunge zimepanda kwa zaidi ya 100% kwanini mnashindwa kuwapandishia mishahara madaktari wetu?. Na kama Serikali italeta ubabe katika hili basi ni bora na ni hekima wafanyakazi wote katika nyanja na fani zote ndani ya Tanzania waanze mgomo mara moja.

Nimekasirishwa sana na kauli ya Pinda, sikutegemea kama anaweza kutoa majibu mepesi kutoka kwenye maswali mazito na ya maana namna hii.
 
Msingi wa yote ni kiburi cha madaktari kukataa wito wa mkubwa. Ndipo watanzania tumejulishwa Dr. Ulimboka mtu gani:
1. 2005 aliongoza mgomo Muhimbili
2.. Akasimamishwa na kupewa onyon kali na MAT
3. 2006 Rais akampa msamaha
4. Aliandika barua kwa MAT kuomba msamaha na kuahidi atajihusisha tena na migomo
5. Rekodi zinaonyesha mafunzo ya intern hajamaliza
6. Hana cheti cha udaktari
7. Ni mfanyakazi wa NGO ya UKIMWI

Hapo Pinda asilaumiwe bali Ulimboka ahukumiwe kwa kuwaburuza madaktari
mkuu usipotoshe,cheti cha udaktari anacho.
 
kama ndio wasifu wake (ulimboka) Pinda ana kosa gani labda kama kuna wasifu kamchomekea kwa kumkomoa. kwa mfano, polisi anaposema mtuhumiwa amewahi kugonga mtu akafa lakini pia ni jambazi sugu na mbakaji mzoefu watakuwa wamemuenea nini kama ni kweli.
 
Msingi wa yote ni kiburi cha madaktari kukataa wito wa mkubwa. Ndipo watanzania tumejulishwa Dr. Ulimboka mtu gani:
1. 2005 aliongoza mgomo Muhimbili
2.. Akasimamishwa na kupewa onyon kali na MAT
3. 2006 Rais akampa msamaha
4. Aliandika barua kwa MAT kuomba msamaha na kuahidi atajihusisha tena na migomo
5. Rekodi zinaonyesha mafunzo ya intern hajamaliza
6. Hana cheti cha udaktari
7. Ni mfanyakazi wa NGO ya UKIMWI

Hapo Pinda asilaumiwe bali Ulimboka ahukumiwe kwa kuwaburuza madaktari

yaaani hapo ndo napoona Pinda alivyokosa akili..kama hana cheti cha udaktari huyo rais alimpa msamaha wa kitu gani na hao MAT walimsimamisha kwa lipi maana sio daktari..Pinda unajiaibisha tu mzee wangu....bora ukae tu ulee mijukuu iliyolundikana pale kwako uweaziri mkuu umekushinda
 
Back
Top Bottom