Permanent secretary? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Permanent secretary?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tripo9, Oct 23, 2009.

 1. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Jamani mnijuve kuusu hawa permanent secretaries ambao nasikiaga raisi akiwateua ktk wizara mbali mbali. Inamaana hawa watakaa ofisini maisha yao? Au hiyo 'permanent' hapa maana yake nini!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mhhh....Umenifurahisha sana Triple9..
  Lakini hata mimi hii kitu inanitesa kidogo, ingawa najua kwamba Permenent Secretary yeye hatokani na wabunge kama ilivyo kwa waziri, na yeye ataendelea na kazi tu mpaka hapo atakapoharibu mwenyewe..., wakati waziri akikosa ubunge ndo mwisho wa nafasi yake...ISTAND TO BE CORRECTED!
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2009
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Permanent Secretary[senior civil servant] ni mtendaji mkuu wa wizara [Accounting Officer] ambaye wadhifa wake hautokani na siasa kama ilivyo kwa waheshimiwa mawaziri.Neno permanent secretary halina maana kwamba watatakiwa kukaa mawizani maisha yao yote hilo ni jina tu mwanzoni walikuwa wakiitwa Principal Secretary, kwa nchi nyingine za jumuiya ya madola wanaitwa Secretary General,Director General au Principal Secretary.
   
 4. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nadhani upo sawa. Hawa ndo wataalamu hasa katika wizara. Waziri kazi yake ni kuleta policy ya Chama chake na hawa ndo wanaofanya kazi ya ku-implement hiyo policy. Kwa hiyo Chama kikisema tutapunguza kodi katika kampeni - policy, wakishinda uchaguzi na kuunda serikali, itakuwa kazi ya waziri wa fedha kuhakikisha hiyo policy inafuatiliwa na kazi ya hawa ni kutekeleza hiyo policy. Na kama ikishindikana, wao ndo wanaomueleza waziri na yeye anapeleka katika Baraza la Mawaziri, na kuangalia uwezekano mpya. hawa wanatakiwa kutokawa na affiliation na Chama chochote. Sidhani kama hii ni kweli kwa Tanzania. Ndo maana nahofia kukija Chama tofauti, kitapata wakati mgumu wa kufanya kazi maana itabidi kubadilisha hadi hawa.
   
 5. t

  tk JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 270
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hapo mwanzo baada ya uhuru walikuwa wakiitwa Principal Secretary. Sijui kwanini jina la cheo hicho lilibadilishwa na kuwa Permanent Secretary. Ili kuondowa utata kama alionao Tripo9 lile jina la zamani lingerudishwa.
   
 6. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2009
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Permanent Secretary ( Katibu Mkuu) kama Civil Servants wote ni permanent kutokana na kuwa watakuwepo hadi kustaafu ili mradi haharibu au mwenyewe kutokutaka kuendelea na kazi. Hata akiharibu inabidi tume ikae na kupitisha kuondoshwa kwake kazini. Ndiyo maana waheshimiwa wanaposimama majukwaani na kuwaambia Civil servants kuwa watawafukuza kazi ni makosa maana uwezo huo hawana. Wanachoweza kufanya ni kuwahamisha au kumuagiza katibu mkuu aanze taratibu za kumfukuza. Katibu Mkuu halazimiki kumtii kama anaona ni uonevu.

  Amandla......
   
 7. W

  WildCard JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2009
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Waite tu kwa kiswahili chetu kizuri: KATIBU MKUU wa WIZARA
   
Loading...