Perfume /spray

Ommy my friend perfume ya 150,000 si ni hizi za kawaida sana zinatumiwa na kila mtu? Jichange chukua perfume angalau 500,000 - 900,000 hapo unaweza pata nzuri kidogo. Mi ninayo moja ya bei rahisi ya tsh 400,000 hii huwa naitumia napoenda GYM au beach. Lakin nyingine zinafika mpaka Mil 1 plus hizo ofisin na mitoko

Habar, wana jf naomba kujua perfume au spray yenye harufu nzuri ambayo inakaa kwa mda mrefu kidogo bila kupotea unapoitumia

N.B bei yake isiwe more than 15 , naomba mwenye kujua anitajie jina na bei , ahsante..
 
Labda vile vi perfume vya Kissuna vya sh. 500
Jahhahahahhaahhahahhahhhhahhahahhahhahhshahhahahhahahhahahhahahahhahhahahahhahahahahahahhahahahhahhhaahhahahahaha.

Dah huwa napita na kusoma comment post nyingi ila hii nimeshindwa kuvumilia.

Umenivunja mbavu sana.
 
Hiyo hela nyingi sana tafuta perfume original za kupima utapimiwa kwa elfu 10 tu unapata kitu cha Lacoste white unanukia kama Trump sema kipimo ni kidogo sana.

Mie napenda kunukia na kuna jamaa alikuwa ananiuzia enzi za ujana niling'oa sana mademu kwa kunukia kiukweli.
 
na ww unavijua ee
Jahhahahahhaahhahahhahhhhahhahahhahhahhshahhahahhahahhahahhahahahhahhahahahhahahahahahahhahahahhahhhaahhahahahaha.

Dah huwa napita na kusoma comment post nyingi ila hii nimeshindwa kuvumilia.

Umenivunja mbavu sana.
 
Jahhahahahhaahhahahhahhhhahhahahhahhahhshahhahahhahahhahahhahahahhahhahahahhahahahahahahhahahahhahhhaahhahahahaha.

Dah huwa napita na kusoma comment post nyingi ila hii nimeshindwa kuvumilia.

Umenivunja mbavu sana.
Ulivyocheka bila shaka naww unapenda "usunna"😂😂😂
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom