INAUZWA Perfume nzuri kwa bei ya kawaida

Bango linajieleza,Hii ni leo tu March 13 2021.

Fika dukani kwetu magomeni mikumi au text,call or whatsapp 0744551655 kuweka oda yako.

IMG_0440.jpg
 
Bro sijawah tumia yoyote kati ya hizo, je nataka unshauri , kati ya hizo ipi itanifaa nijipange niingie dukan hapo
 
Unawezaje kufanya shuguli zako za kila siku pasi na kunukia fresh.!??? How come upo na wadau wako wa maendeleo alafu unanukia jasho lako.!? naona haiji kabisa.

Leo nakuletea perfume za sansiro kwa bei ya 20,000tsh na perfume za kihayyati kwa 28,000tsh tu.

Call,text and WhatsApp 0744551655 au karibu dukani kwetu magomeni mikumi kujionea perfume mbalimbali.

Tunafanya delivery ndani na njee ya nchii.

NB;perfume zetu zinakaa kwenye nguo si chini ya saa 8, refund ni ndani ya saa 24.

IMG_0480.jpg

IMG_0471.jpg

IMG_0472.jpg

IMG_0496.jpg

IMG_0492.jpg

IMG_1019.jpg

IMG_1032.jpg

IMG_1334.jpg

IMG_1331.jpg
 
Nukia mpaka basi na MAAHIR PERFUME kwa 75,000tsh tu..unapaka mara moja unasahau jasho lako.

Tupigie 0744551655 au fika dukani kwetu magomeni mikumi kuona bidhaa zetu.

IMG_5748.jpg
 
J5 ya kunukia kibosi na PARADOX PERFUME Kutuka dukani kwetu kwa gharama nafuu kabisa ya 75,000tsh inatakokufanya unukukia siku nzima.

Tupigie 07445551655 au fika dukani kwetu magomeni mikumi kwa maelezo zaidi na kuona bidhaa zetu mbalimbali

IMG_5750.jpg
 
Dah mkuu naona bei zako ni rafiki, nimekua nikitumia hizi za kupima ni kweli zinanukia vizuri lakini hazikai sana kwenye nguo yaani ndani ya masaa mqtano basi inachuja.
Vipi kuna ambazo harufu yake sio kali sana lakini zinadumu kwa angalau masaa 10? Na bei yake isizidi elfu 50?

Kama zipo naomba unijulishe ni za ujazo gani.

Asante
 
Zipo

Ujazo mils 100

Bei 28,000,35,000&50,000

Nipigie 0744551655 au karibu dukani kwetu magomeni mikumi kujionea na kujaribu ladha mbali mbali za perfume tulizonazo.
 
View attachment 1498687

Chagua namba ya perfume itakayokupendeza upate kwa gharama nafuuu kabisa.

1. Mousuf Perfume.Ni Perfume nzuri hasa kwa wanaume ina harufu iliyokolea lakini haikeri utapata kwa 32,000 tsh tu.

2. Oud 24 perfume.Perfume hii ni inapendeza kutumiwa na jinisia zote ni nzuri saana na inakaa saana kwenye nguo nayo ni 32,000 tsh tu.

3. Sultan al shabab.Perfume ya kiume inayokaa kwenye nguo si chini ya saa 42 inanukia vizuri mnoo,hii inakwenda kwa 32,000tsh.

4. Najdia perfume spary.Hupendwa zaidi na wanaume ila hata wadada na wamama inafaa kabisa maana inaharufu nzuri yenye kupendeza nayo ni 32,000tsh tu.

5. Oud mood lattafa design.Chaguo boraa saana kwa wanawake kwa Harufu yake tami ya oud iliyotulia ,hii ni 35,000tsh tu.

6. Rams lattafa.Ni perfume yenye harufu mardidad kwa jinsia zote inayodumu kwenye nguo kwa muda mrefu,utapata lwa 32,000tsh.

Usafiri ni bure kwa wakazi wa Dar es Salaam kama ukichukua kuanzia 2 na kuendelea.

Mikoani tunatuma kwa gharama nafuu.

Tunauza jumla na rejareja, tupate 0744551655 kwa maelezo zaidi au fika dukani kwetu magomeni mikumi mtaa wa ifunda kuona bidhaa zetu mbali mbali.

NB; Perfume zote hizo zinadumu kwa muda mrefu kwenye nguo,Hakika hutojutia kujipatia yako.
Mbona perfume zenyewe za kigaidi? Al Shabaab sio watu wazuri ujue
 
Mbona perfume zenyewe za kigaidi? Al Shabaab sio watu wazuri ujue

hayo ni majina ya kiarabu yenye maana mbalimbali..mfano al shabaab kwa uelewa wangu maana yake shupavu..yaani kijana shupavu..kwa hyo ukiona sultan al shabaab maana yake mtawala shupavu..so ukipaka perfume ya sultan al shabaab unakuwa hali ya kujiamini kama alivyo sultan mwenyewe ..karibu.
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri. Mimi huwa natumia Blue seduction By Antonio Banderas, je naweza kupata?

blue-seduction-IL-PERFUM-para-hombres-de-antonio-banderas-200-ml-original-santo-domingo-republica-dominicana.jpg
 
Back
Top Bottom