Perfume gani ya kiume au ya kike ambayo ipo romantic na inakaa kwenye mwili kwa zaidi ya mwezi 1? | Page 4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Perfume gani ya kiume au ya kike ambayo ipo romantic na inakaa kwenye mwili kwa zaidi ya mwezi 1?

Discussion in 'Urembo, Mitindo na Utanashati' started by JITU LA MIRABA MINNE, Jan 11, 2017.

 1. JITU LA MIRABA MINNE

  JITU LA MIRABA MINNE JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2017
  Joined: Mar 28, 2015
  Messages: 431
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 60
  Naomba kujuzwa perfume hio inayoweza kukaa katika nguo hata miezi au mwaka haitoki mm ni mvivu kununua mara kwa mara
  perfume ambayo ukipakaa anaisikia wa pembeni tu
   
 2. H

  Hute JF-Expert Member

  #61
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 4,664
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  nahisi nitakuwa mchafu, kwasababu ni miaka mingi sana nilinunua au kutumia perfume. huwa sihisi umuhimu hata wa kuinunua, mimi nikioga, nikavaa nguo zangu safi, na ninaona sitoi harufu, maisha yanaendelea, kuanza kupita sehem watu wanaziba pua kama kapita demu maisha hayo yalikuwa ujanani aisee.
   
 3. k

  kibaravumba JF-Expert Member

  #62
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 2,946
  Likes Received: 709
  Trophy Points: 280
  Hii nikiisikia nahisi kufakufa!
   
 4. PATO8221

  PATO8221 JF-Expert Member

  #63
  Jan 11, 2017
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 5,605
  Likes Received: 4,335
  Trophy Points: 280
  Kuvutiwa na harufu unamanisha?
   
 5. miss chagga

  miss chagga JF-Expert Member

  #64
  Jan 11, 2017
  Joined: Jun 7, 2013
  Messages: 50,834
  Likes Received: 20,334
  Trophy Points: 280
  nanusa huku madukani.. niliyonayo hapa kwenye pochi chupa yake sioni jina nadahi ilikuwa kwenye box lake
   
 6. Soso J

  Soso J JF-Expert Member

  #65
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 1,352
  Likes Received: 457
  Trophy Points: 180
  Hahahhahha weka mbali na wavaa maderaaa
   
 7. D

  Dundo_Boy JF-Expert Member

  #66
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 29, 2015
  Messages: 1,526
  Likes Received: 1,207
  Trophy Points: 280
  Pafyumu inayodumu ni YESU TU!.... Ukimpaka mwilini mwako hata panya road atajua. Anadumu milele na unang'ara milele muulize shusho atakusimulia pia. Achana na hayo mengine yanachafua mwili bure. Mwenye Yesu hata hanuki kwapa ama mwili................Niwie radhiiiiii
   
 8. Rohombaya

  Rohombaya JF-Expert Member

  #67
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 7,058
  Likes Received: 2,043
  Trophy Points: 280
  Dah... Kwa mfano wewe ulitaka watu wawaze nini Hasa?
   
 9. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #68
  Jan 11, 2017
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 3,613
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  Nunua halafu utakuja kutupa mrejesho.
   
 10. l

  lucious_lyon Senior Member

  #69
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 20, 2015
  Messages: 165
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  inaitwa OMO
   
 11. g

  gungele JF-Expert Member

  #70
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 8, 2015
  Messages: 1,045
  Likes Received: 638
  Trophy Points: 280
  Hii kitu ya ukweli asee
   
 12. salaniatz

  salaniatz JF-Expert Member

  #71
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 10, 2014
  Messages: 1,289
  Likes Received: 1,609
  Trophy Points: 280
  Hanae Mori
  Bei 70000
  [​IMG]
   
 13. mdundo ngoma sana

  mdundo ngoma sana JF-Expert Member

  #72
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 2, 2016
  Messages: 706
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 80
  Tabduyuu inauzwa laki tisa hiyo ukipulizia inakaa mwaka
   
 14. a

  arondavie New Member

  #73
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 17, 2016
  Messages: 4
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Uana mpango wa kufua eeehh
   
Loading...