Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,958
Ndiyo mkuu...hiyo kitu ni funga kazi.Mangi vitu vidogo hivi....
View attachment 963654
Ndiyo mkuu...hiyo kitu ni funga kazi.Mangi vitu vidogo hivi....
View attachment 963654
Naitumia hii tangu 2001.Ndiyo mkuu...hiyo kitu ni funga kazi.
Vizuri mkuu...Nmewahi kuitumia ila kwa sababu za kiuchumi nmerudi kwenye hizi za buku tano. Hua nanunua ile sample yake hua inauzwa elfu 10. Nikiwa stable ntarudi kwenye hiyo kitu.Naitumia hii tangu 2001.
Paco Rabane
Duh,kuna mtu aliniambia ni laki 5,OG...inawezekana aisee! Ile kitu ni nomaaaInaitwa Givenchy.
Bei inaanzia laki 4 Original, sio za kariakoo za laki na nusu.
Hiyo haiondoki kwenye nguo hata ukifua.
Nakumbuka shuleni nilikua nikiingia class watu wote attention kwangu hadi nkawa naona noma kupakaa.
Nkipita kwenye korido naacha harufu. wadada walikua wanataka kupiga tory na mm kisa perfume tu.
Nlikua napendwa mpaka na ma class teacher, kina madam fulan fulan kibao tu. ma denti wenzangu ndo usiseme.
Perfume ni nzuri. Kama una hela kainunue.
Mm na shemeji yako wote ndo brand zetu, kuna for men and for women.
Kazi kwako boss
Mkuu ada yangu ya veta ndo ulikuw unanunulia iyo kituDuh,kuna mtu aliniambia ni laki 5,OG...inawezekana aisee! Ile kitu ni nomaaa
Naomba mnisaidie hapa wapo ambao hupenda mwanaume anukie kiasi kwamba akiwa mbali unaeeza msikia ma akipita lazima ikae kwa muda mrefu ile harufu na wapo wanaoenda mwanaume anukiee kidogo yaani mpaka umkumbatie ndio utajua kuwa anan7kia
Wapo wengine wanaume wapaka body spray hawana nafasi kwao wao wanataka wanaume wenye perfume hata kamani jasmine wao twende tu
Wapo wengine kuna perfume na perfume wao atleast cologne kwa mbaali ndio itaamsha consideration
Kwa upande wako wewe ni aina gani ya perfume inakupa mzuka kut8ka kwa mwanaume?
Wanawake wa sasa wanapenda harufu ya pesa tu.Wanawake ama wasichana? Sijui kama kuna mwanamke aliyekomaa anayewaza mabo ya perfume.
Huyo ashaku feel.Hii kitu ni balaa kuna mdadake mshkaji wangu alinambia, ulikua uki ondoka home ktk koch harufu haishi hata 2days,!!View attachment 1765798
Ila sio ka kule.mwanaume ni kajasho
Wengine harufu ya pu-mbu tu hoi!
ina maajabu gani mpaka inauzwa laki nne au ndo brandInaitwa Givenchy.