Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
41,620
2,000
Ngoja waka gugo
Mangi vitu vidogo hivi....
Kama hela cyo shida tafuta Issey Miyake...L'eau d'Issey 180,000/= watoto wote wa mjini watakufuata nyuma kama kuku na vifaranga.
Ila kama pesa ya kuunga tumia vya bei rahisi kama romance na bellagio.
IMG_20181210_232403.jpg
 

Christine1

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
13,770
2,000
Inaitwa Givenchy.
Bei inaanzia laki 4 Original, sio za kariakoo za laki na nusu.
Hiyo haiondoki kwenye nguo hata ukifua.
Nakumbuka shuleni nilikua nikiingia class watu wote attention kwangu hadi nkawa naona noma kupakaa.
Nkipita kwenye korido naacha harufu. wadada walikua wanataka kupiga tory na mm kisa perfume tu.
Nlikua napendwa mpaka na ma class teacher, kina madam fulan fulan kibao tu. ma denti wenzangu ndo usiseme.
Perfume ni nzuri. Kama una hela kainunue.
Mm na shemeji yako wote ndo brand zetu, kuna for men and for women.
Kazi kwako boss
Duh,kuna mtu aliniambia ni laki 5,OG...inawezekana aisee! Ile kitu ni nomaaa
 

Morg

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
846
1,000
Mimi natumia Brown Orchid huyu mnyama namkubali Sana Huyu hajawahi kuniangusha
 

Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
4,553
2,000
Wanawake ama wasichana? Sijui kama kuna mwanamke aliyekomaa anayewaza mambo ya perfume.
Naomba mnisaidie hapa wapo ambao hupenda mwanaume anukie kiasi kwamba akiwa mbali unaeeza msikia ma akipita lazima ikae kwa muda mrefu ile harufu na wapo wanaoenda mwanaume anukiee kidogo yaani mpaka umkumbatie ndio utajua kuwa anan7kia

Wapo wengine wanaume wapaka body spray hawana nafasi kwao wao wanataka wanaume wenye perfume hata kamani jasmine wao twende tu

Wapo wengine kuna perfume na perfume wao atleast cologne kwa mbaali ndio itaamsha consideration

Kwa upande wako wewe ni aina gani ya perfume inakupa mzuka kut8ka kwa mwanaume?
 

mi_mdau

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
679
500
Naomba tusaidiane maduka ya perfumes og Dar. Nimegundua feki ni nyingi kuliko OG na unauziwa bei zilezile
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom