Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

70577M.jpg
 
Naomba mnisaidie hapa wapo ambao hupenda mwanaume anukie kiasi kwamba akiwa mbali unaeeza msikia ma akipita lazima ikae kwa muda mrefu ile harufu na wapo wanaoenda mwanaume anukiee kidogo yaani mpaka umkumbatie ndio utajua kuwa anan7kia

Wapo wengine wanaume wapaka body spray hawana nafasi kwao wao wanataka wanaume wenye perfume hata kamani jasmine wao twende tu

Wapo wengine kuna perfume na perfume wao atleast cologne kwa mbaali ndio itaamsha consideration

Kwa upande wako wewe ni aina gani ya perfume inakupa mzuka kut8ka kwa mwanaume?
 
Ukiwa JF epuka kutumia maneno tatanishi...ona sasa umemuita mrembo mwanaume mwenye tunguli mbili na asumani jicho moja...
Sema tu BAK mwenyewe yupo Poa sio muongeajii Kama akina kaka Jambazi ukosee usemee mremboo mbona utafunga Account ya JF
 
Miye 'kuruthumu' tu inanipa mzuka! Loh!!
Kuna perfume ambazo ya kiarabu nzuri sana hazina spirit, zipo za kike na kiume, makabila ni mengi, perfume zake zinanukia hal uddi, yaani hio ukipuliza hata kama mbaya kama jiwe utatongozwa au kama mwanaume utachekewa
 
Perfume za kizungu sijui boss, Beckham, ck hazina mpango wowote, nendeni arabuni perfume zake bab kubwa, ukitaka hizo ulizia maduka ya vipodozi ya wapemba ndo wenyewe wanayo yajua. Yapo ya kike na kiume, pia body spray za kiarabu mashallah.

Body spray kwa ajili ya mwili na perfume kwa ajili ya nguo, kuna watu wanatumia tu bila ya mpangilio.

Kuna lotion nzuri inaitwa Rinju, harufu yake bab kubwa, yaani lazima mtu akundande
 
Attachments

  • 1453145607717.jpg
    1453145607717.jpg
    57.3 KB · Views: 127
Pamoja na kutumia perfume, lakini pia lazima ujiweke sopsop kwa sana. Sio unajipulizia perfume na mikwapa hujanyoa..... au mara nguo nazo sijiui nini....., hapo itakuwa shida badala ya harufu nzuri utanuka kibeberu - mbuzi.
 
Hahaha hahaha
 
Blue Seduction - Antonio Banderas! Mi naiitaga urimbo!! Hapo samaki huwa hakwepi chambo!
 
Attachments

  • 1453155183648.jpg
    1453155183648.jpg
    25 KB · Views: 129
Perfume za kizungu sijui boss, Beckham, ck hazina mpango wowote, nendeni arabuni perfume zake bab kubwa, ukitaka hizo ulizia maduka ya vipodozi ya wapemba ndo wenyewe wanayo yajua. Yapo ya kike na kiume, pia body spray za kiarabu mashallah.

Body spray kwa ajili ya mwili na perfume kwa ajili ya nguo, kuna watu wanatumia tu bila ya mpangilio.

Kuna lotion nzuri inaitwa Rinju, harufu yake bab kubwa, yaani lazima mtu akundande
Kila mtu na taste yake, mimi binafsi perfume za kunukia kama JINI sizipendi kabisaaa
Halafu,perfume inapulizwa kwenye PULSE POINTS[shingoni,kwenye viganja etc] yaani sehemu unazoweza ku feel mapigo ya moyo pale kuna ka joto kanakosaidia kuinukisha vizuri,watu wanapuliza kwenye nguo kimazoea tu. Body spray una spray sehemu yoyote kwenye upper body.
 
Kuna siku niliingia pale mwenge puma petrol station kwenye kile ka min shop yao nikakuta mafuta ya Yolanda nilicheka hadi wahudumu wakanishangaa, nikanunua kimoja baada ya 2 days naende kumchukulia mtu nikakuta vimeisha
Kwanini ulicheka?
 
Dunia yenye wanawake bilion 4 itapenda perfume tofautitofauti,hajuna moja itakayopendwa na wote,wala haitapatikana itakayochukiwa na kila mmoja,kila mmoja ataipenda aina yakwake
 
Back
Top Bottom